Hii kesi bado ipo active au imekufa?

Private investigator

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
303
Reaction score
287
Mwaka 2011 alishitakiwa kumpa mimba mwanafunzi ila kesi haikufika popote maana girl mwenyewe aliyepewa mimba alikuwa 24 age by then, alikuwa na first child aged 10 hivyo mimba aliyoshitaki kupiwa ilikuwa ya pili kuipata akiwa nyumbani.

Kesi iliyeyuka kiaina aina tu na jalada kupotelea. Mtoto akazaliwa na yuko na 3 year now na matumizi yanatumwa kwa mtoto na baba yake.
Je, kuna namna yoyote mzazi huyu wa kike kuifufua kesi ya 2011?

Je, kwa age ya mlalamikaji na uanafunzi alikuwa nao by then anafungua kesi unaweza kuathiri kesi upande wa mlalamikiwa?

Je, ni kwa namna gani baba wa mtoto ataweza kumpata mtoto wake ambaye mpaka sasa yupo na mama yake wakiishi kwa wazazi (kwa bibi ba babu wa mzaa mama)?
 
Hebu fafanua huyu wa age ya 24yrs alikuwa mwanafunzi level gani ya elimu? msingi,sekondari au chuo?
 
toa maelezo ya kina bila kuhoji sana,,vinginevyo inakuwa ngumu kupata muelekeo wako
 
Hakuna kes ya kumpa mwanafunz mimba but kuna kesi ya ubakaj...ukimpa mimba under 18...so kama yy miaka 24 hata asome la kwanza....hakuna kesi ni kapenda mwenyewe
 
Hakuna kes ya kumpa mwanafunz mimba but kuna kesi ya ubakaj...ukimpa mimba under 18...so kama yy miaka 24 hata asome la kwanza....hakuna kesi ni kapenda mwenyewe

Hapo shtaka laweza kuwa ubakaji kama mwanafunzi yuko chini ya miaka 18. Vinginevyo,shtaka huwa kumsababisha kuacha masomo
 
To my legal understanding inabidi uangalie kwnza alikuwa mwanafunzi ktk elimu gani na kwa umri wake huo sio minor tena ni adult so to presume she had consented na mwanaume thus matumizi anatoa mwanaume...japo hyo scenario ungeifafanua vizuri tungeichambua vyema
 
Hapo shtaka laweza kuwa ubakaji kama mwanafunzi yuko chini ya miaka 18. Vinginevyo,shtaka huwa kumsababisha kuacha masomo

Yas kama ulikuwepa..tatizo watu hawasom hiz sheria...hata mwanafunz wa chuo kama under 18 ukimtia mimba umebaka...🙂🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…