Private investigator
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 303
- 287
Mwaka 2011 alishitakiwa kumpa mimba mwanafunzi ila kesi haikufika popote maana girl mwenyewe aliyepewa mimba alikuwa 24 age by then, alikuwa na first child aged 10 hivyo mimba aliyoshitaki kupiwa ilikuwa ya pili kuipata akiwa nyumbani.
Kesi iliyeyuka kiaina aina tu na jalada kupotelea. Mtoto akazaliwa na yuko na 3 year now na matumizi yanatumwa kwa mtoto na baba yake.
Je, kuna namna yoyote mzazi huyu wa kike kuifufua kesi ya 2011?
Je, kwa age ya mlalamikaji na uanafunzi alikuwa nao by then anafungua kesi unaweza kuathiri kesi upande wa mlalamikiwa?
Je, ni kwa namna gani baba wa mtoto ataweza kumpata mtoto wake ambaye mpaka sasa yupo na mama yake wakiishi kwa wazazi (kwa bibi ba babu wa mzaa mama)?