Umtama Mula
JF-Expert Member
- Jan 11, 2021
- 291
- 798
Kumbuka hayo maneno yanadaiwa kutolewa kupitia Chombo cha habari cha Jambo TV. Flash iliyobeba maneno hayo kama huna habari Mahakama ilikataa kuyapokea kama kielelezo. Kwa ufupi hayo maneno hayapo mahakamani.*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,
-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!
*View attachment 3647782Outcomes yake!
-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!
UGORO MTUPU*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,
-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!
*View attachment 3647782Outcomes yake!
-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!
Hayana uhalisia ndomana yuko huru hadi sasa!!Vipi aliyeshawishi watekaji kwa kusema tutawapoteza alishachukuliwa hatua? Kesi kama hizo tutafungwa akina sisi tusiojua chochote
DPP anafuata sheria so hawezi kumhurumia sababu hana hayo mamlaka, mahakama inaweza kumtia hatiani lissu lkn samia ana mamlaka ya kusamehe mtiwa hatiani.Ukute mnae mwita dkt hapendi kukisikia hicho "kivumishi cha sifa cha doctor" ila ndio mmekomaa kumuita dk.
Kumbe ni huruma ya "dakitari" siyo tena DPP "kutojisika furaha " kuendelea na kesi!
Do not take it easy!Hayo maneno sio makosa!
Na hizo outcomes ni outcomes za ufala wa huyo mama!
Ogopa neno,kibaya halirudi nyuma,kibaya zaidi,baada ya matamshi,""UOVU""Utokee!Machawa mnafikiria kutumia makalio, hasara tupu
Akili huna mavi wewe. Kwahiyo Lissu ndiye alikuwa anaamrisha raia na polisi kuua wakati wa matukio? Lissu ndiye alikiwa anaamrisha watu wachome vitu? Nyie timu kizimkazi mna laana ya asili.*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,
-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!
*View attachment 3647782Outcomes yake!
-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!
Uzuri hata yule aliyesema hakuna nywinhywi wala nyanyanya ataitwa kuja kutoa ushahidiLissu hachomoki kesi ngumu hii kwake, asubiri tu huruma ya dk samia!!
Mkuu hujui kiongozi akitamka neno,haraka utekelezaji huanza pengine hata bila yeye kutambua!....Unachekesha wewe!
Wewe uliwahi kuona mtu anashtakiwa kwa kosa la miaka ijayo
Ambalo kosa hilo wakati linafanyika alikuwa yupo jela chini ya ulinzi mkali?
Uliona wapi kesi ya namna hiyo.
Kesi ya Lisu haihusiani na MO29 ni kesi mbili tofauti, wahusika tofauti, nyakati tofauti
Usijitoe akili mkuu,lissu ni kiongozi mkuu,kauli yake ni agizo moja kwa moja....(Titles yake kama mkuu wa chama siyo mchezo) Labda alikuwa ajitambui kama yeye ndiye mwenyekiti,na kauli yake huwa ni kauli yenye uzito.Akili huna mavi wewe. Kwahiyo Lissu ndiye alikuwa anaamrisha raia na polisi kuua wakati wa matukio? Lissu ndiye alikiwa anaamrisha watu wachome vitu? Nyie timu kizimkazi mna laana ya asili.
Sasa hiyo hatia ambayo unaona hayo maneno aliyosema Lissu... Yapo Mahakama Gani ?DPP anafuata sheria so hawezi kumhurumia sababu hana hayo mamlaka, mahakama inaweza kumtia hatiani lissu lkn samia ana mamlaka ya kusamehe mtiwa hatiani.
Ushahidi anaotoa unafaa kutolewa dhidi ya mtuhumiwa wa kosa la sedition (uchochezi), sio dhidi ya mtuhumiwa wa kosa la treason (uhaini).Hii ngoma imefikia patamu, leo lissu alikuwa anatia huruma, mpaka alitamani amzibe mdomo shahidi wa mashtaka
Kesi ya kipumbavu kama hii kwenye serious independent court ingepigwa nje in day one na prosecutor angepewa onyo kaliUsijitoe akili mkuu,lissu ni kiongozi mkuu,kauli yake ni agizo moja kwa moja....(Titles yake kama mkuu wa chama siyo mchezo) Labda alikuwa ajitambui kama yeye ndiye mwenyekiti,na kauli yake huwa ni kauli yenye uzito.
Hakuna wanaopotea kwa kutekwa? Yanatekelezwa practically na huyo wa kuzuia uchaguzi halikufanyika maana uchaguzi ulifanyika mtu akala zake 97% ya ushindi.Hayana uhalisia ndomana yuko huru hadi sasa!!
Unayowaza hayapo kisheria. Tatizo lenu mnawaza kwa mihemko yenu na kudhani mnayowaza yapo kihalali. Kwani Lissu kama raia ana tofauti gami na wewe? Samia kama raia ana tofauti gani na wewe? Tatizo tunadhani kuwa nchi hii inaongozwa kwa matamko na kwa kuangalia nani ni nani. Ndiyoaana kwenye nchi ambazo si za hovyo kama Tanzania ilivyo ya hovyo kunakuwa na katiba ambayo inamuongoza kila mtu akiwemo Rais. Hapa kwetu tunadhani kuwa Samia ndiye kila kitu. Upuuzi mtupu.Usijitoe akili mkuu,lissu ni kiongozi mkuu,kauli yake ni agizo moja kwa moja....(Titles yake kama mkuu wa chama siyo mchezo) Labda alikuwa ajitambui kama yeye ndiye mwenyekiti,na kauli yake huwa ni kauli yenye uzito.
*Nakupa mfano,leo hii mwenyekiti wa chama ccm akikosea akatamka ""siipendi jamiiforum amini kesho inafungwa""kumbuka hapo hakutamka ifungwe"" yaani kauli za wenyeviti ni tamko!
Kesi ya kipumbavu kama hii kwenye serious independent court ingepigwa nje in day one na prosecutor angepewa onyo kali
Siyo kila kitu ni cha kukipuuza!/ Upo sahihi ni jinsi mahakama itakavyopendekeza lakini kumbuka kuna ATHARI ZILITOKEA!Kesi ya kipumbavu kama hii kwenye serious independent court ingepigwa nje in day one na prosecutor angepewa onyo kali
Sawa tu, kwani tatizo nini?Uzuri hata yule aliyesema hakuna nywinhywi wala nyanyanya ataitwa kuja kutoa ushahidi