Not when the entire world is watching. Ujanja wa Iblis ni wa kufanya kazi gizani.Kwa kuwa mahakama zetu haziko huru na kwa kuwa bibi anaweza kuiamuru mahakama ifanye anavyotaka. Lissu atàpigwa life in prison.
Lissu hachomoki kesi ngumu hii kwake, asubiri tu huruma ya dk samia!!
Unachekesha wewe!
Wewe uliwahi kuona mtu anashtakiwa kwa kosa la miaka ijayo
Ambalo kosa hilo wakati linafanyika alikuwa yupo jela chini ya ulinzi mkali?
Uliona wapi kesi ya namna hiyo.
Kesi ya Lisu haihusiani na MO29 ni kesi mbili tofauti, wahusika tofauti, nyakati tofauti
Lilisikika senge Moja likiongwa kupitia nduku lake.Hayo maneno sio makosa!
Na hizo outcomes ni outcomes za ufala wa huyo mama!
""Kila kitu huanza kwa wazo,wazo kuelekea kwenye nia,nia upelekea kwenye kauli/neno,kauli/neno hupeleka signal kwa watekelezaji,kauli ya kiongozi ni agizo ""Sijajua Mungu alikuwa na kusudi gani mpaka akaruhusu watu wenye akili ndogo, vilaza na wajinga kama nyinyi kuwa na madaraka. Yaani mnalazimisha makosa na pia kuhalalisha uharamia wenu pasipo hata na chembe ya aibu!
Ni kweli Kesi iliyofunguliwa April ni ya Uhaini na haihusiani na Mo29.Sasa hiyo hatia ambayo unaona hayo maneno aliyosema Lissu... Yapo Mahakama Gani ?
Yaani hayo maneno ambayo kasema Lissu ..yamepokelewa kama ushahidi Mahakama Gani ?
Unajua mnaongea vitu hewani bila kujua procedure za Mahakama....
Mnahangaika na viheading vya kujifariji, jiandaen kisaikolojia mtatwangwa mchana kweupe na hatutaki upuuzi mara rais amsamehe mara sijui ujinga gani tunataka tuone tafsiri ya ujinga wenu mnaoaminishana huko lumumba kuwa alisema kukinukisha na baada ya hii kesi maisha yenu yote hamtarudia kumfungulia kesi nasema tena baada ya hii kesi hamrudia kumfungulia kesi zenu za mchongo maana mandondocha aibu mnayoenda kupata hamtasahau na genge la ma-cartels tunaenda kulizika kabisa.*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,
-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!
*View attachment 3647782Outcomes yake!
-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!
Mwenye uwanja wako….!!!
Na ndio maana watapigwa mchana kweupe.Ni kweli Kesi iliyofunguliwa April ni ya Uhaini na haihusiani na Mo29.
Ila haya ndio maneno ya Lissu.
"Walisema msimamo huu unaashiria uasi....., ni kweli, kwa sababu tunasema tutazuia uchaguzi, tutahamasisha uasi.... hiyo ndiyo namna ya kupata mabadiliko, kwa hiyo tunaenda kukinukisha, sanasana huu uchaguzi tunaenda kuuvuruga kwelikweli, tunaenda kukinukisha vibaya"
Wanachofanya Hawa mawakili sasahivi ni kuhusisha haya maneno na zile vurugu.
Hata kama hati ya mashtaka haisemi kuhusu vurugu.
Umeona eeeeeeSikuhizi had wajinga nao ni wachambuzi wa Sheria..
Duh,*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,
-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!
*View attachment 3647782Outcomes yake!
-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!
Na ndio maana watapigwa mchana kweupe.
Ok!,matusi kwetu ni manukato safi..Duh,
Kwenye mambo ya sheria wewe ni kiazi pro
Matusi gani wewe chawa wa mama ??Ok!,matusi kwetu ni manukato safi..
Naona Umepandisha watu kisukari asubuh asubuh😊😊😊😊Ok!,matusi kwetu ni manukato safi..
Usilolijua ni tafsiri rasmi ya maneno hayo na tafsiri rasmi ya uahini.*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,
-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!
*View attachment 3647782Outcomes yake!
-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!