Mwaka wa Mbele
JF-Expert Member
- Mar 5, 2026
- 1,013
- 3,017
Ni kweli Kupinga sio kosa.Usilolijua ni tafsiri rasmi ya maneno hayo na tafsiri rasmi ya uahini.
Pili kuipinga serikali au kupinga au kuzuia uchaguzi siyo kosa kwenye mfumo wa vyama vingi
Nadhani umeshuhudia maelezo ya shahidi Mahamba aliyoandika mwenyewe akijaribu kugoma yasitumike mahakamani kama ushahidi, lakini baada ya TAL na majaji kumkomalia akawa hana namna akakubali. Je! Hapo umejifunza nini??????
Tume ya Jaji Chande ilisema sababu za vurugu. Na moja ya sababu ni maneno ya wanasiasa na wanaharakati.
Kakamatwa miez 6 kabla ya Uchaguzi. Sasa Huyu ACP Mahimba ndio anataka kutoa ushahidi wa maandishi kuonyesha ni kias gan maneno ya Lissu yalihamasisha watu kufanya vurugu.
Kumbuka watu kadha wa kadha walikamatwa na wakaandika maelezo. Na baadae Raisi aliwasamehe.
Yale maelezo ni ushahidi.
Kama kwa namna yoyote waliaema wamehamasika na maneno ya Lissu ya April 2025. Kesi ni ngumu.
Aliwahamadisha watu mapema mwezi Aprili nao wakatenda akiwa jela
Mkuu hujui kiongozi akitamka neno,haraka utekelezaji huanza pengine hata bila yeye kutambua!....
(Underground work huanza mara moja zinazo husu utekelezaji)
Hakuna ugumu wowote hapo kwa mujibu wa shtaka linahusu uhaini.
Maelezo yanahusu kuvuruga uchaguzi.
Hao waliokamatwa kisha kuachiwa walikamatwa kwa kesi ya uhaini au kuleta vurugu kwenye uchaguzi?
Kuzuia uchaguzi sio uhaini.
Kuzuuia kiongozi wa siasa asitangazwe sio uhaini.
Kwani kesi yake kwa sasa ni ipi?
Kesi yake ni kuhamasisha watu kuzuia uchaguzi, na kuleta vurugu au uhaini?
Kusema utazuia uchaguzi bila kutaja namna utakavyozuia, ukawekwa jela zaidi ya miezi sita ikapita, kwenye uchaguzi kukatokea vurugu ukiwa jela, unahusikaje na kuzuia na kuleta vurugu kwenye uchaguzi unahusikaje?
Kuna viongozi wengi na watu wengi walikuwa wakisema watazuia uchaguzi kama hakutakuwa na reforms kwa nini wao wasikamatwe akamatwe Tundu Lisu?
Mahakama inauwezo upi wa kupima ushawishi wa watu hasa wanasiasa katika kauli zao?
Nipo hapa kwa ajili ya kujifunza, ni kwanini Mahakama ilikataa maneno hayo kutoka kwenye hiyo flash?Kumbuka hayo maneno yanadaiwa kutolewa kupitia Chombo cha habari cha Jambo TV. Flash iliyobeba maneno hayo kama huna habari Mahakama ilikataa kuyapokea kama kielelezo. Kwa ufupi hayo maneno hayapo mahakamani.
Ccm kuna vilaza sana , kwamba hajui kwamba mahakamani kuna lugha za kutumia sio pa kuropoka , kuna lugha na mnyumbuliko unaotakiwa kutumika ukiwa mahakamaniHii ngoma imefikia patamu, leo lissu alikuwa anatia huruma, mpaka alitamani amzibe mdomo shahidi wa mashtaka
Nipo hapa kwa ajili ya kujifunza, ni kwanini Mahakama ilikataa maneno hayo kutoka kwenye hiyo flash?Hati ya Mashtaka ya Lissu inasema hili ndio shata linalomkabili.
"Walisema msimamo huu unaashiria uasi....., ni kweli, kwa sababu tunasema tutazuia uchaguzi, tutahamasisha uasi.... hiyo ndiyo namna ya kupata mabadiliko, kwa hiyo tunaenda kukinukisha, sanasana huu uchaguzi tunaenda kuuvuruga kwelikweli, tunaenda kukinukisha vibaya".
Je unadhani Mawakili wakionganisha haya ya April na vurugu za Mo29 wanakosea?.
Lissu ni mbobevu wa Sheria.Nipo hapa kwa ajili ya kujifunza, ni kwanini Mahakama ilikataa maneno hayo kutoka kwenye hiyo flash?
Pia ikiwa Lissu aliwekwa gerezani kabla ya uchaguzi miezi kadhaa kabla ya ule uchaguzi na hadi wakati wa uchaguzi alikuwa chini ya magereza, Je uhalali wake na uhusika wa yaliyotokea siku ya uchaguzi unatokea wapi?
Sasa zile vurugu sio Uhaini..Ni kweli Kesi iliyofunguliwa April ni ya Uhaini na haihusiani na Mo29.
Ila haya ndio maneno ya Lissu.
"Walisema msimamo huu unaashiria uasi....., ni kweli, kwa sababu tunasema tutazuia uchaguzi, tutahamasisha uasi.... hiyo ndiyo namna ya kupata mabadiliko, kwa hiyo tunaenda kukinukisha, sanasana huu uchaguzi tunaenda kuuvuruga kwelikweli, tunaenda kukinukisha vibaya"
Wanachofanya Hawa mawakili sasahivi ni kuhusisha haya maneno na zile vurugu.
Hata kama hati ya mashtaka haisemi kuhusu vurugu.
Yes. Hapa Lissu ameshinda.Na jaji kasema mambo ya October 29 yasiletwe Mahakamani...
Raisi aliwafutia mashtaka.Na kama Kuna watu walifanya vurugu October 29 ...mbona walisamehewa
Kwa hali hii tuacheni tu tushangilie mnapokufa.""Kila kitu huanza kwa wazo,wazo kuelekea kwenye nia,nia upelekea kwenye kauli/neno,kauli/neno hupeleka signal kwa watekelezaji,kauli ya kiongozi ni agizo ""
Sasa hizo fujo kafanya Lissu ?Yes. Hapa Lissu ameshinda.
Raisi aliwafutia mashtaka.
lakin Wangekuwa na shtaka la kujibu.
Kuchoma sheli , Ofisi za serikali na polisi kwa sheria za TZ ni Kesi ya Kigaidi.
Fujo zingeishia barabarani ni vurugu.
Fujo zimesababisha mali kuchomwa ni Ugaidi.
Umeona sasa mstar mwembemba unaotenganisha hapo?.
Kukinukisha au kuzuia uchaguzi sio kosa la kiuhaini.Kukinukisha labda tupate tafsiri Mpya
Kuzuia Uchaguzi sio uhaini
Huo ujinga mtaubiri sanaLissu hachomoki kesi ngumu hii kwake, asubiri tu huruma ya dk samia!!
Ww utakuwa ni mjinga kweli, kila mchezo una kanuni na wala haogopi. Huwezi kuongea chochote kama sio sehemu ya ushahidi. Kama unataka kuongea chochote nenda sokoni. Kama jamuhuri ingekuwa ina ushahidi wa maana asingewashinda huko kote. Unapoona shahidi wa jamuhuri anaongea chochote, ujue anachotakiwa kuongea hakipo.Lissu kaanza lini kuipenda serikali mpaka aionee huruma kufungua sanduku la Pandora? Kesho babu yenu anakaangwa na aibu mtaona nyie, chonde chonde asimpangie cha kusema shahidi wa mashtaka hiyo kesho!!
Na ya yule muaji mkuu yataishia jela za ICC.Lissu Maisha yake Lazima yaishie Huko huko Gerezani
Niamini nikukuambia.Na ya yule muaji mkuu yataishia jela za ICC.