comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Mpaka leo bado hujajua kua wana roho ya kinyama?Kama huo ni mpango kweli na sio tatizo kama wanavyodai, hao watu basi wana roho za kinyama sana. Maji sio huduma ya kuchezea kabisa.
So kama wameua watu Hilo litashindikana vipi !?Kama huo ni mpango kweli na sio tatizo kama wanavyodai, hao watu basi wana roho za kinyama sana. Maji sio huduma ya kuchezea kabisa.
Hapa bongo maji ni luxurymaji ni uhai
Mpaka leo bado hujajua kua wana roho ya kinyama?
So kama wameua watu Hilo litashindikana vipi !?
Wajinga sanaHapa bongo maji ni luxury
Siyo.kwamba ndo wanaongeza hasiraNi kama wamekata maji makusudi ili hii habari itrend zaidi watu wasahahu yaliotokea October 29, mimi nikishaona habari mbaya mbaya zinapostiwa hadi na tbc kila saa na vyombo vingine machawa vya Tanzania ujue kuna walakini.
Shtukeni huu ni mchongo.
Wametengeneza tatizo halafu baada ya mda mfupi watakuja kulitatua halafu kuna mtu ataonekana shujaa, na vyawa watapewa kichaka kipya cha kumsifia Mungu wao kwa tatizo alilolitatua.
Ni kama wamekata maji makusudi ili hii habari itrend zaidi watu wasahahu yaliotokea October 29, mimi nikishaona habari mbaya mbaya zinapostiwa hadi na tbc kila saa na vyombo vingine machawa vya Tanzania ujue kuna walakini.
Shtukeni huu ni mchongo.
Wametengeneza tatizo halafu baada ya mda mfupi watakuja kulitatua halafu kuna mtu ataonekana shujaa, na vyawa watapewa kichaka kipya cha kumsifia Mungu wao kwa tatizo alilolitatua.
Naam unaelewa vyema jinsi ya kutenganisha signal na noiseNaomba kufahamishwa, TBC wanahabarisha juu ya ukosefu wa maji?
Kama jibu ni ndio basi nitapigia mstari ninachowaza.
🤣🤣🤣Hapa bongo maji ni luxury
Wana roho ngumuHoja yako ina mashiko kwa kiwango kikubwa. Hawa watu walishapoteza ubinadamu. Wanaongozwa na nguvu fulani fulani zisizo za kawaida. Ushetani mtupu.