Hii kete walioisukuma CCM ni kama inataka kufanikiwa

Si ufike pale ruvu darajani uone kima cha maji au ulizia wanaopita maeneo hayo ya ruvu darajani watakupa habari. Labda tupate taarifa za ile miradi ya umwagiliaji upande wa juu kabla ya kufika maeneo ya pampu za maji zilipo.
 
Kama huo ni mpango kweli na sio tatizo kama wanavyodai, hao watu basi wana roho za kinyama sana. Maji sio huduma ya kuchezea kabisa.​
Yaan wewe matukio ya Oct bado hayajakusaidia unasubiria haya ya maji?
 
ccm hawana siasa mbovu hivo kama zenu
 
Tatizo la maji linatokea kila mwaka.

Kimsingi ukosefu wa maji unadhihirisha kufeli kwao kuongoza nchi.
 
Wanategemea ruvu
Na ruvu ndo hivyo tena mvua hakuna ...nitakua wa mwisho kuamini hili

Na km wameamua kufanya hivyo imebuma maana inawapa hasira wananchi zaidi tena natamani iwe zaidi ya hapa
 
Ni aibu nchi kutegemea mvua , maji tuu yaliopo chini wilaya ya kigamboni yanatosha kunywesha dar nzima na yasikatike wangeamua kuchimba visima naa kuweka matank makubwa ya kutosha.
 
Aweso kiazi kasema mkaoge na kunywa maji baharini
problem solved!
 
Damu ya mtu ni kitu kingine rafiki huwezi kuisahaulisha na changamoto ya maji
 
Ni aibu nchi kutegemea mvua , maji tuu yaliopo chini wilaya ya kigamboni yanatosha kunywesha dar nzima na yasikatike wangeamua kuchimba visima naa kuweka matank makubwa ya kutosha.
Sangapi watapiga pesa?
Wakifanya hivyo watakosa pesa ya upigaji
 
Kama huo ni mpango kweli na sio tatizo kama wanavyodai, hao watu basi wana roho za kinyama sana. Maji sio huduma ya kuchezea kabisa.​
CCM na roho mbaya ni chupi na tako
 
Maji yakirudi tu, tunaoga Kisha tunakutana kijiweni kuendelea kujadili madhila ya Samuya na watu wake.
 
TENGENEZA TATIZO HALAFU BAADAE LETA SULUHISHO UTAONEKANA SHUJAA WATU WATASEMA UMEUPIGA MWINGI.

bwinu mbwinu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…