silas maswe
Member
- Jul 28, 2015
- 96
- 130
Ww sio mfuatiliaji wa mabasi. Dar sikku hizi kila siku siku zinatoboa. Na kuja Mwanza leo zinatoboa basi 2 tu. Dar lux na Ally's zingine zote shyNi kweli tunatangulizana na Darlux mkuu na yenyewe Leo imejitahidi kutoboa abiria wengi wanaishangaa maana Darlux kutoboa sio jambo la kawaida sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi zipo mbili, ukipata ile mpya mnatoboa bila shida. Au ile ya kahama. Ila ukipanda ile kichomi ujue kutoboa ni majaliwa ya Mola.Ni kweli tunatangulizana na Darlux mkuu na yenyewe Leo imejitahidi kutoboa abiria wengi wanaishangaa maana Darlux kutoboa sio jambo la kawaida sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ally's iko vzr pia.Ww sio mfuatiliaji wa mabasi. Dar sikku hizi kila siku siku zinatoboa. Na kuja Mwanza leo zinatoboa basi 2 tu. Dar lux na Ally's zingine zote shy
Sent using Jamii Forums mobile app
mwendo kasi ni hatari kiongozi.Kisbo kwakweli yahitaji uwe na moyo wa ziada kwa ile spidi yao. Wanakimbia sana, mi niliwahi kufika shinyanga saa tatu na dakika 10 nikakuta ht wanangu bado hawajalala
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kulipanda tena tangu kipindi hicho, siku nasafiri na JM ya Musomamwendo kasi ni hatari kiongozi.
Khaa.. JM nao wako masaa sana.Sijawahi kulipanda tena tangu kipindi hicho, siku nasafiri na JM ya Musoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Lkn wako na afadhali kidogo, sio km kisbo. Hata interval ya seat kwa seat ni kubwa.Khaa.. JM nao wako masaa sana.
Dar lux mashine
Mkuu siku hizi ni kawaida hulali njiani huyo ndo kiboko wa kisboNi kweli tunatangulizana na Darlux mkuu na yenyewe Leo imejitahidi kutoboa abiria wengi wanaishangaa maana Darlux kutoboa sio jambo la kawaida sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanaingia ndiyo, kama ni kutoka Dar wanaingia kuanzia saa tatu na dakika zake... Kutoka mwanza bus la kwanza likijitahidi sana saa tatu kasoro hivi usiku linakua msamvu... Ila mengi yanaingia saa nne kasoro hivi.. Ikifika saa 4kamili hawaruhusiwi tena kuendelea na safari.Mabasi ya dar to mwanza, mfano Dar lux, Kisesa, Kisbo linaingia Msamvu? Kama yanaingia ni saa ngapi yakua yanaingia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Mkuu, nyinyi uzi wenu bado unapikwa vumilia kidogo.Sorry, na sie tunaotumia Airbus 300 comments zetu zina fiti kwenye huu uzi?
Mara ya mwisho kusafiri january, kisbo iliingia msamvu around moja na nusu hivi.Yanaingia ndiyo, kama ni kutoka Dar wanaingia kuanzia saa tatu na dakika zake... Kutoka mwanza bus la kwanza likijitahidi sana saa tatu kasoro hivi usiku linakua msamvu... Ila mengi yanaingia saa nne kasoro hivi.. Ikifika saa 4kamili hawaruhusiwi tena kuendelea na safari.