Hii kitaalamu imekaaje?

Hii kitaalamu imekaaje?

Kitaalamu kabisa kabisa huyo huko aliko hana furaha hivyo anabuy time, yaani Ile kitaalamu kabisa anatembea na ule msemo usiache kazi la haujapata kazi, lakini ukija Kwa kitaalamu kabisa yaani huyo anataka kukufanya figa la tatu si unajua.
Yeah ananifanya me ndo wa kumtuliza anapovurugwa,huu ni ufala apambane kivyake sitaki mazoea

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom