Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
- Thread starter
-
- #21
Yeah ananifanya me ndo wa kumtuliza anapovurugwa,huu ni ufala apambane kivyake sitaki mazoeaKitaalamu kabisa kabisa huyo huko aliko hana furaha hivyo anabuy time, yaani Ile kitaalamu kabisa anatembea na ule msemo usiache kazi la haujapata kazi, lakini ukija Kwa kitaalamu kabisa yaani huyo anataka kukufanya figa la tatu si unajua.
Sasa unamchunguzaje mtu ambae kashakubali kweli ana mtu ila hana furaha naeHuwenda anakupima imani. Jifanye hujamind but mchunguze kujua km yupo serious au anazingua km itakuwa kweli piga chini
Hivyo hivyoIla niendelee na hii hii formula ya kupiga kimya akinitafuta namjibu au sio
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Nafasi kwamba tuwe wapenzi kama zamani au?Kweli itakuweka huru we mwambie ukweli vinginevyo kama unampenda mpe nafasi.
Ndiyo manake vinginevyo achana naye kwa kumwambia ukweli.Nafasi kwamba tuwe wapenzi kama zamani au?
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app