Hii kitu haina urafiki..!!

Hii kitu haina urafiki..!!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Juma alimua kusafiri kwenda mbali. Akamvika mkewe chupi ya chuma yenye kufuli.
Ufunguo wa chupi alimwachia rafiki yake mkubwa na kipenzi kwa maelezo kuwa
asiporudi baada ya miaka minne amfungulie mkewe ili aishi maisha ya kawaida.

Juma alianza safari yake. Muda si mrefu kabla hajafika mbali akamwona rafiki
yake kipenzi anamkimbilia…. akasimama kumsubiri kujua kulikoni.

Akauliza: Vipi rafiki yangu? Rafiki akajibu; umenipa ufunguo ambao si wenyewe!!!
 
Jamaa alienda kujaribu immediately, hhahahahahah hii kali
 
Ahahahaa-huyu hata hakusubiri 1 hr ipite, hii balaaa.Inawezekana jamaa alikuwa anatest uaminifu wa rafiki yake ili ajue hata akifa kesho yake rafiki yake ataishi vipi na mkewe
 
hivi ww na akili zako unamwekea mbwa nyama mdomoni then unamwambia asile hiyo kitu inawezekana kweli? acha masihara bro hyo kitu ni ngumu
 
Back
Top Bottom