Hii kitu hapa chini haina urafiki?!

Kwanza Visent unafikiri hata huyo jamaa huko chini atashtuka wakati mifuko ni mitupuu?
:humble:
 
Dah naona vipaji vimejaa vya mazungumzo ya hapo chini!
 
Dah naona vipaji vimejaa vya mazungumzo ya hapo chini!

Yes. Sasa jamaa hapo juu anasema bila cent hakustuki. Ila sasa huku vijijini watu wanakaa miezi miwili hawajashika mia. Lakini wako moto sana. Sijui hii ikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…