k-star
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 541
- 388
Ni kawaida ya binadamu kuogopa wanyama hatari kama vile Simba, Nyoka, Chui n:k. Lakini hili limenishangaza zaidi na zaidi kuwa ukikutana na CHATU hutakiwi kumpiga. Na endapo utampiga na kumuua basi jamii nzima inakutenga na kama utamtupa barabarani basi hiyo njia watu hawatapita kabisa. Mwenye kujua hili ebu funguka hapo karibuni.