Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Kitaalam sijui inaitwaje. Ila ni ngozi kuota vijinyama kama chuchu. Umri wangu 42 tangu vimeanza kutokeza ni zaidi ya miaka 7 iliyopita. Ila naona kama vinazidi na kukua pia.
Pia nina kijana wangu ana miaka 11 tayari vimeshaanza kumwota. Vipo kwenye mbavu.
Kama kuna tiba au ushauri basi naombeni. Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia nina kijana wangu ana miaka 11 tayari vimeshaanza kumwota. Vipo kwenye mbavu.
Kama kuna tiba au ushauri basi naombeni. Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app