Hii kitu ina tiba jamani?

Hii kitu ina tiba jamani?

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Kitaalam sijui inaitwaje. Ila ni ngozi kuota vijinyama kama chuchu. Umri wangu 42 tangu vimeanza kutokeza ni zaidi ya miaka 7 iliyopita. Ila naona kama vinazidi na kukua pia.

Pia nina kijana wangu ana miaka 11 tayari vimeshaanza kumwota. Vipo kwenye mbavu.

Kama kuna tiba au ushauri basi naombeni. Natanguliza shukrani
20180903_140528.jpg
20180903_140237.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa tundevu looh

Ila hizo huwa zinachomwa na mpaka sasa hamna tiba ya uhakika.

Ningeshauri uvichukulie kama ngozi yako na usihangaike navyo

[emoji252] [emoji479]
 
Vinaitwa skin tags kama sijakosea.
Na huwa vinatolewa,nenda hospitali onana na daktar wa ngozi kwa uchunguzi na majibu mazuri zaidi.
 
Back
Top Bottom