Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Ahsante.Mkuu mimi najua hivi vinyama hua vinakatwa hospitali,tusubiri wataalamu zaidi.
Thanks mkuu. Huko ndio kwetu ingawa kwa sasa nipo mkoani.Pole sana Mkuu,kama upo Kilimanjaro nenda KCMC (Kilimanjaro Christian Medical Center) utaliona jengo limeandkwa 'Herbert Spencer Dermatology ward' ukienda hapo unaweza pata msaada wa haraka na wa uhakika!
Sent using Jamii Forums mobile app
Vaa miwani mkuu. Huoni madoa meusi na vichuchu maeneo ya shingo!Weeeeeeeeeeee, mie hata sijaona "ugonjwa wako", nimeona hizo nywele nywele hapo kwenye picha, ayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ThanksVinaitwa skin tags kama sijakosea.
Na huwa vinatolewa,nenda hospitali onana na daktar wa ngozi kwa uchunguzi na majibu mazuri zaidi.