Hii kitu sidhani kama itapatikana tena Bongo hii

Ndio hio sasa ilikuwepo miaka ile...na ilikuwa burudani sana tu...

Duh, kitambo sana watu tulikuwa tunakaa nje pale uwanjani lakini tunakwenda sawa na walio ndani,na hapa ndiyo nilijifunzia lugha ya alama.
Mi Maisha yangu yote sikuwai ingia humo ndani,tulikua tunaishia kule nje tunaangalia action tu no sauti! Umasikini mbaya sana nikiufikiria sana!!
 
Mi Maisha yangu yote sikuwai ingia humo ndani,tulikua tunaishia kule nje tunaangalia action tu no sauti! Umasikini mbaya sana nikiufikiria sana!!
Mimi nishabinjuka sana mule
Sema kuna siku tulidakwa
Kupelekwa obay...tukapewa adhabu
Kufagia uwanja....
Sema ukiwa kule kwenye sinema bubu
Walikuwepo wakalimani,wajuaji ila ilikuwa burdan

Ova
 
Tulikuwa tunatoka kwa Mguu Mkwajuni mpaka huko!! Kawawa road yote vumbi enzi hizo ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…