Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Asante sanaPoleni sana Mkuu Bujibuji 🙏🏾
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sanaPoleni sana Mkuu Bujibuji 🙏🏾
Headphones, huo ni ukimbi wa sinema ila watazamaji sharti mje na gari, kwahiyo mkikaa kwenye magari yenu ndio mnapewa hizo headphonesNa hivyo vijiti ni vyanini
Lazima uwe matawi ya juu mkuuHizo ni Spika zna wire ndefu ilikuwa unatoa moja unaingiza ndani ya gari, Kila bombo Lina Spika 2
Duh, kitambo sana watu tulikuwa tunakaa nje pale uwanjani lakini tunakwenda sawa na walio ndani,na hapa ndiyo nilijifunzia lugha ya alama.Miaka ya hii kitu sidhani Kama itapatikana tena bongo hiiView attachment 1883899
Mi Maisha yangu yote sikuwai ingia humo ndani,tulikua tunaishia kule nje tunaangalia action tu no sauti! Umasikini mbaya sana nikiufikiria sana!!Duh, kitambo sana watu tulikuwa tunakaa nje pale uwanjani lakini tunakwenda sawa na walio ndani,na hapa ndiyo nilijifunzia lugha ya alama.
Mimi nishabinjuka sana muleMi Maisha yangu yote sikuwai ingia humo ndani,tulikua tunaishia kule nje tunaangalia action tu no sauti! Umasikini mbaya sana nikiufikiria sana!!