Hii Kluger New Model nimeilewa sana

Ndo maana nikaenda hatua moja mbele na kuingia kwenye tovuti za makampuni husika. Na website zote zika-prove theory yangu.

Sasa na wewe weka source zako.
 
I think to compare gari ya 2020 na gari ya 2021 si sahihi kabisa-Unless tulinganishe GLS ya 2021 na Landcruiser ya 2021(kama ipo) ita make sense
Bei za magari huwa hazibadiliki.

Kinachobadilika ni tax policy ya Tz au series mpya ya hiyo model. Mf LC300 series inavyokuja ndo inaweza badili bei.

Hata ukienda 2022 bado GLS entry model itauzwa bei ileile ya $77,000 MSRP.
 
Sijui ni wapi nilisema kodi inapigwa mara mbili , ila kuna scenario uliisema nikakwambia kuwa hiyo inaweza ku attract double taxation kitu ambacho sio sahihi.
Point yangu nilisema kuwa hakuna dealer anaweza akakupa raw price ya item ati bila kodi . Hata ukimwambia unataka ku export , ndo anaweza kukupa option ya tax exemption.
 
Wewe ulisema $77,000 ya GLS ni pamoja na kodi iliopigwa huko Ulaya. Nikakwambia mambo hayaendi hivyo.

Hiyo $77,000 ni kutoa gari kiwandani tena bila options na kuletewa wewe nchini kwako ndo upambane na TRA.
 
Bei za magari huwa hazibadiliki.

Kinachobadilika ni tax policy ya Tz au series mpya ya hiyo model. Mf LC300 series inavyokuja ndo inaweza badili bei.

Hata ukienda 2022 bado GLS entry model itauzwa bei ileile ya $77,000.

Mkuu sidhani kama upo serious, bei za magari hubadilika kadiri miaka inavyopinduka kutegemeana na stock iliyopo kwa dealer na reputation ya brand husika sokoni,
 
Hivi mlipita pita shule kweli hata kidogo? Au umande.?

Kama umepost kwa kusifia bila ridhaa ya mmiliki kwanini usiHide hizo namba?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Alie toa post kakosea na wewe ume kosea zaidi ulipaswa kumuelewesha tuu next time awe anaficha hizo namba

Huu ndio uungwaana sio hivyo kuanza kutoa maneno ya kejeri

Najua hatari iliyopo kwa kuto kuficha izo namba wenda mwendesha gari hakutaka kujulikana /au gari haiku takiwa kuwa hapo ILIPO kwaiyo inaweza kuwa na tatzo kwa alio kuwa nayo hapo
 
Mkuu sidhani kama upo serious, bei za magari hubadilika kadiri miaka inavyopinduka kutegemeana na stock iliyopo kwa dealer na reputation ya brand husika sokoni,
Kirahisi hivyo?

Pricing ya magari haiendi hivyo. Hiyo sio stock market kwamba bei za hisa zinabadilika kila mara.

Bei huwekwa fixed.
 
Hajahide namba kwani hilo gari limefanya uhalifu au kuna tishio la kiusalama kwa mmiliki? Na unashindwa kuelewa mfumo wa TRA mmiliki siku hizi hayuko wazi kama zamani wamehide taarifa za mmiliki, Na vipi Hornet anayeuza used mbona hu hahide namba
Mfumo upi wa magari wa TRA ambao unaficha taarifa za mmiliki wa chombo!??
 
Wewe ulisema $77,000 ya GLS ni pamoja na kodi iliopigwa huko Ulaya. Nikakwambia mambo hayaendi hivyo.

Hiyo $77,000 ni kutoa gari kiwandani tena bila options na kuletewa wewe nchini kwako ndo upambane na TRA.
Hapa hukunielewa hiyo ni bei ya kuondoka na chombo chenyewe kama ungekuwa unaishi Nchi husika yan full taxed , Tena bei halisi ni 76190 usd hiyo 77000 nime round off
Halafu hakuna kiwanda cha magari kinauza magari kwa individuals labda kama unaongelea gari za kichina , Viwanda vyote huwa vinauza magari kupitia dealers wa nchi husika maana kuna service na warranties ambazo kiwanda haziwezi kuku attend.
Unaponunua gari jipya then ukawa na plan za kusafirisha kwenda nchi yako , dealer anayekuuzia ni lazima awasiliane na dealer wa nchi unayokwenda na asiporidhika anaweza asikuuzie hiyo gari au akakuuzia kwa mikataba tofauti kabisa ambao utakubana .
 
Kirahisi hivyo?

Pricing ya magari haiendi hivyo. Hiyo sio stock market kwamba bei za hisa zinabadilika kila mara.

Bei huwekwa fixed.
Bei ya tractor unit man Tgs 440, 2020 ilikuwa 9000 pounds less kuliko 2018 model kwa sababu ya bad reputation ya previous model.
 
Bei za magari huwa hazibadiliki.

Kinachobadilika ni tax policy ya Tz au series mpya ya hiyo model. Mf LC300 series inavyokuja ndo inaweza badili bei.

Hata ukienda 2022 bado GLS entry model itauzwa bei ileile ya $77,000 MSRP.
My point of argument is not about a tax policy, it's about the method which is being used here for comparison.
*Nilikuwa naona the right methodology ni ku compare magari based on the same model year.Sidhan kama itakuwa sahihi pia kulinganisha let's say VX ya 2022 na GLS ya 2021 and virce versa ukapata majibu sahihi-1 year difference kwenye market ni kubwa sana.
 
My apology!

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…