Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Ndo maana nikaenda hatua moja mbele na kuingia kwenye tovuti za makampuni husika. Na website zote zika-prove theory yangu.Kama unakiamini kikokotoo cha Tra basi , tunaweza tusielewane
Kuna gari zimepewa value isiyo yake hapo , wewe mwenyewe pale juu ulisema bei ya maybach gls ilikuwa 163000 usd , hapa kwa msaada wa kikokotoo unasema gls hiyo hiyo ni 186000 usd .yani maybach ni ghali zaidi ikiwa Tanzania kuliko ikiwa Ulaya .
Sasa na wewe weka source zako.