Hii Kluger New Model nimeilewa sana

We unawaza VXR wenzako wako in a matter of time wanachukua GLS.

Hivi mnakuaga na akili timamu kweli nyie? Au ni madhara ya utapia mlo????

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Sasa bahati mbaya wanaochukua ni wenzako na sio wewe.

Kwa hio unaweza kuishia tu kuzona hizo GlS kwa wenzako.
 
We unawaza VXR wenzako wako in a matter of time wanachukua GLS.

Hivi mnakuaga na akili timamu kweli nyie? Au ni madhara ya utapia mlo????

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mkuu hiyo mercedes gls yako unaendeshea wapi ? Maana ungekuwa nayo mjini hapa tungekupost tu tukupe credit
Yaan unaota halafu unakuja kupost. VXR zipo mjini hapa watu wana ride
Halafu ulivyo boya bado umekariri Germany cars to be expensive
Your 2020 gls inagharimu chini ya dola 100, 000 hilo VXR kamq lile la mkurugenzi geita yanagahrimu karibu 180000 usd .
 
patamu hapo
 
Hivi kama amedanganya mtu yupo kuzimu au somewhere else afu anaonekana yupo Road inakuaje?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Registration number ya gari yeyote inatakiwa iwe public.
Unless hiyo gari iwe imeruhusiwa na serikali kutokuwa na plate number.
Na kama upo kwenye public easement uanaweza kupiga picha chochote ambacho kinaonekana.
Hiyo gari ingekuwa ipo chumbani kwa jamaa labda, ila ikiwa barabarani inaonwa na watu wengi kwa hiyo hamna shida.
 
patamu hapo
Aliposifia mercedes gls na ndo nimemuona punguani yani baadhi ya watu wakisikia germany basi wanadhani ndo expensive kit.
Hivi anae endesha humo umemuona au nilazima mwenye gari?
Shetani ndo linaendesha humo mkuu wala usiwe na khofu
Sasa bahati mbaya wanaochukua ni wenzako na sio wewe.

Kwa hio unaweza kuishia tu kuzona hizo GlS kwa wenzako.
Tatizo ni Nyumbaro plus lishe duni mkiwa wadogo ndio maana upeo wa kufirki, kuelewa na kung'amua mambo hamna.

Nimesema "in a matter of time". Sasa ambacho hamuelewi nini? Kumbe ndio mana wanaharakati wanapigania watoto wawe wanapata lishe kamili mashuleni.madhara yake ndio haya sasa ukubwani.

Gabbage!

If you MFs ever doubt me....well, believe me this now......kua I'm outta your league!

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
In a matter of time , sawa nimekuelewa , sasa unalia nn mwenzako kusifiwa kluger? Kama unaweza kuvutw gls chap kwa haraka, ?Are you living your life or someone's life?
Halafu fyi mercedes gls na lc vxr kama zikikaa nymba moja , gls itakuwa ipo banda la uani, hapo tunaongelea 200 series sio 300 series
 
Ndio mana nasisitiza watoto wawe wanapata mlo bora na lishe yenye virutubisho tosha.

Yani, still u dont get it!

Kama nawaza in a matter of time kuhusu GLS we unahisi sasa ivi ninaenda kwenye GOLF Course au??

Maisha haya. Dah!

Kweli nimeamini kua Blessed na Commonsense ni Punishment maana utakua kila siku unadeal na wajinga wajinga ambao hawana.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
mkuu samawahaniiii .... inaonekana una ndinga kali hamu mjini bhasi tuonee huruma na sisi wenye vibeba golf kama unavosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…