Torque vs HP
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,769
- 5,084
Yaani hio 25m hata ukiizidisha mara 2 bado hupati hio gari.20 hata 25 hupati??? Kidogo sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hio 25m hata ukiizidisha mara 2 bado hupati hio gari.20 hata 25 hupati??? Kidogo sana mkuu
Sasa bahati mbaya wanaochukua ni wenzako na sio wewe.We unawaza VXR wenzako wako in a matter of time wanachukua GLS.
Hivi mnakuaga na akili timamu kweli nyie? Au ni madhara ya utapia mlo????
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Hivi anae endesha humo umemuona au nilazima mwenye gari?Hivi kama amedanganya mtu yupo kuzimu au somewhere else afu anaonekana yupo Road inakuaje?
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mkuu hiyo mercedes gls yako unaendeshea wapi ? Maana ungekuwa nayo mjini hapa tungekupost tu tukupe creditWe unawaza VXR wenzako wako in a matter of time wanachukua GLS.
Hivi mnakuaga na akili timamu kweli nyie? Au ni madhara ya utapia mlo????
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Aliposifia mercedes gls na ndo nimemuona punguani yani baadhi ya watu wakisikia germany basi wanadhani ndo expensive kit.Mwana naona hua anaulizia tu bei za Audi,Bmw,Benz kila thread.
patamu hapoMkuu hiyo mercedes gls yako unaendeshea wapi ? Maana ungekuwa nayo mjini hapa tungekupost tu tukupe credit
Yaan unaota halafu unakuja kupost. VXR zipo mjini hapa watu wana ride
Halafu ulivyo boya bado umekariri Germany cars to be expensive
Your 2020 gls inagharimu chini ya dola 100, 000 hilo VXR kamq lile la mkurugenzi geita yanagahrimu karibu 180000 usd .
Registration number ya gari yeyote inatakiwa iwe public.Hivi kama amedanganya mtu yupo kuzimu au somewhere else afu anaonekana yupo Road inakuaje?
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
patamu hapo
Aliposifia mercedes gls na ndo nimemuona punguani yani baadhi ya watu wakisikia germany basi wanadhani ndo expensive kit.
Mkuu hiyo mercedes gls yako unaendeshea wapi ? Maana ungekuwa nayo mjini hapa tungekupost tu tukupe credit
Yaan unaota halafu unakuja kupost. VXR zipo mjini hapa watu wana ride
Halafu ulivyo boya bado umekariri Germany cars to be expensive
Your 2020 gls inagharimu chini ya dola 100, 000 hilo VXR kamq lile la mkurugenzi geita yanagahrimu karibu 180000 usd .
Hivi anae endesha humo umemuona au nilazima mwenye gari?
Shetani ndo linaendesha humo mkuu wala usiwe na khofu
Tatizo ni Nyumbaro plus lishe duni mkiwa wadogo ndio maana upeo wa kufirki, kuelewa na kung'amua mambo hamna.Sasa bahati mbaya wanaochukua ni wenzako na sio wewe.
Kwa hio unaweza kuishia tu kuzona hizo GlS kwa wenzako.
Bora hata wewe una akili japo nusu. Sio hao wenzako.Heshima kwake Kluger lakini mimi mpenzi wa Korean cars,karibuni .Kia Sorento 2020View attachment 1781784
Tatizo lishe mzee ndio maana una mawazo ya kimaskini. At your age. Tena si ajabu upo kwenye Menopause!Aliposifia mercedes gls na ndo nimemuona punguani yani baadhi ya watu wakisikia germany basi wanadhani ndo expensive kit.
Mbona hiyo kana Rav 4 ile hybrid; umesoma ukaona imeandikwa Kluger?Leo nikiwa kwenye Pita zangu, mjini nimemuona huyu mnyama mpaka nikasisimka wandugu, Kitu kimetulia sana.
Naomba wenye maelezo kuhusu huyu mnyama, kwa maana ya ufanisi, Bei na Kadhalika
Extrovert mzee wa Toyota nategema comments zako
ila wewe jamaa kama mtu ana hasira anaweza kukunyonga 😀 😀 😀 😀 😀 , unachukia sana magari ya toyotaTatizo lishe mzee ndio maana una mawazo ya kimaskini. At your age. Tena si ajabu upo kwenye Menopause!
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
In a matter of time , sawa nimekuelewa , sasa unalia nn mwenzako kusifiwa kluger? Kama unaweza kuvutw gls chap kwa haraka, ?Are you living your life or someone's life?Tatizo ni Nyumbaro plus lishe duni mkiwa wadogo ndio maana upeo wa kufirki, kuelewa na kung'amua mambo hamna.
Nimesema "in a matter of time". Sasa ambacho hamuelewi nini? Kumbe ndio mana wanaharakati wanapigania watoto wawe wanapata lishe kamili mashuleni.madhara yake ndio haya sasa ukubwani.
Gabbage!
If you MFs ever doubt me....well, believe me this now......kua I'm outta your league!
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
siyo toyota tu ni vingi inshort ni Haterila wewe jamaa kama mtu ana hasira anaweza kukunyonga 😀 😀 😀 😀 😀 , unachukia sana magari ya toyota
na huyu je ?Bora hata wewe una akili japo nusu. Sio hao wenzako.
Unaonekana kidogo ulipata pata lishe wakati ukiwa mdogo.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
hahahahahahahsiyo toyota tu ni vingi inshort ni Hater
Ndio mana nasisitiza watoto wawe wanapata mlo bora na lishe yenye virutubisho tosha.In a matter of time , sawa nimekuelewa , sasa unalia nn mwenzako kusifiwa kluger? Kama unaweza kuvutw gls chap kwa haraka, ?Are you living your life or someone's life?
Halafu fyi mercedes gls na lc vxr kama zikikaa nymba moja , gls itakuwa ipo banda la uani, hapo tunaongelea 200 series sio 300 series
mkuu samawahaniiii .... inaonekana una ndinga kali hamu mjini bhasi tuonee huruma na sisi wenye vibeba golf kama unavosemaNdio mana nasisitiza watoto wawe wanapata mlo bora na lishe yenye virutubisho tosha.
Yani, still u dont get it!
Kama nawaza in a matter of time kuhusu GLS we unahisi sasa ivi ninaenda kwenye GOLF Course au??
Maisha haya. Dah!
Kweli nimeamini kua Blessed na Commonsense ni Punishment maana utakua kila siku unadeal na wajinga wajinga ambao hawana.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Huyo sio levo yako kabisa.na huyu je ?
View attachment 1781805