Hii Kluger New Model nimeilewa sana

Kwa hio na ww unataka uchore 7 sio?
Hahahahahah.. Inatosha wakuu msameheni huyo kijana msomi mwenye degree zake kabatini.
Eti kasema yeye hana wivu na TOYOTA [emoji1787]
Watoto wazuri kama wewe hua nawapenda sana, hua sihangaiki hata kutumia KY ni mwendo wa kohozi tu.
Aisee kweli wale jamaa wa TANZANIA FOOD AND NUTRITION CENTRE wana kazi ya kufanya.

Nadhani ingeandaliwa milo maalumu kwa watu kama nyie mliokosa lishe bora utotoni hadi mmepata mental impairment.

Japo hamtaweza kurudi ktk hali ya kawaida ila nadhani degree za mitindio ya ubongo mliyo nayo itadegrade...japo a bit

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Mke wangu una maneno ya kusisimua wewe,MP ya mwezi huu naona inakutesa sana.

Ukiingia kwny heat nishtue nikumwagie uji mzito wa protin.
 
Mboga 7 tafuta hata ka vits ka kuzugia then uje tu discuss mambo ya magari.
 
Mboga 7 tafuta hata ka vits ka kuzugia then uje tu discuss mambo ya magari.
Mke wangu una maneno ya kusisimua wewe,MP ya mwezi huu naona inakutesa sana.

Ukiingia kwny heat nishtue nikumwagie uji mzito wa protin.
Gari si lako unalia je lingekuwa lako? Hujauwa mtu?[emoji848]
Ni langu, nimewaruhusu, sema lingine
[emoji23][emoji23][emoji23] Hayo ndio madhara ya kusoma degree za sheria na kwenda law school afu unarudi mtaani mambo ni bila bila,lazima tu uwe mwehu kama hivyo mkuu.
Hahahahahah.. Inatosha wakuu msameheni huyo kijana msomi mwenye degree zake kabatini.
Eti kasema yeye hana wivu na TOYOTA [emoji1787]
Hivi meshakula mchana kweli? Au bado mnaendekeza utapia mlo??



Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23] then komaa kuulizia bei za germany cars kwa miaka 4 mfululizo


Siku ukipata gari njoo hapa jukwaani ufundishwe na wadau jinsi ya kubadili tyre ikipata pancha.
 
Aliposifia mercedes gls na ndo nimemuona punguani yani baadhi ya watu wakisikia germany basi wanadhani ndo expensive kit.
Inawezekana ukawa mis-informed au umeamua kubishana tu.

2021 AMG GLS 63 bei inaanzia $133,000 bila options.

2021 Maybach GLS inaanza $160,000 bila options.

2021 BMW X7 Alpina inaanzia $141,000 bila options.

Unataka niweke bei za kina Audi RSQ8 na Porsche Cayenne Turbo S?

Ukiweka options plus kodi ya serikali ndo utajua bei inakuja ngapi kama haijazidi $200,000.

Halafu nioneshe wapi hiyo VXR inauzwa $180K au umesahau zile procurement procedures za serikali? Kitu cha 1000 unauziwa 5000?
 
Aisee jombaa hebu tuweke picha ya ile G-wagon yako na R/Rover autobiagraph 2021 wanyonge tujionee.
 
Mwaka 2020 ndo nilizingatia maana hizi 2021hata hapa bongo bado , mijadala kama hii huwa tunaongelea vitu vilivyopo sio vya kufikirika
Halafu mdau alikuwa anaongelea Gls ambayo base price yake ni 77000 usd , na si amg 63 gls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…