JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Huyo jamaa wanaomtafuta weshajua yupo wapi.nacheka lkn kwa dharau sana mnazungumzia gari na nmba zake mbn huyu jamaa anayekatiza mbele ya gari ya mpiga picha hamjaona kama pia mnadhalilisha ungeanza kwanza ku-hide picha ya jamaa then ndo izo plate number.