Hii Kluger New Model nimeilewa sana

Mwaka 2020 ndo nilizingatia maana hizi 2021hata hapa bongo bado , mijadala kama hii huwa tunaongelea vitu vilivyopo sio vya kufikirika
Halafu mdau alikuwa anaongelea Gls ambayo base price yake ni 77000 usd , na si amg 63 gls
Nilifuata comment uliosema watu wanakariri German Models ni expensive wakati sio.

Nimekuonesha mifano tu ya German models zilizo expensive kuliko hizo Toyota VXR. And last time i checked, top model ya Toyota Landcruiser ambayo ni VXR inauzwa $120,000. Ukiweka options na makodi ndo inakuja hiyo $180,000 sawa na 400M kama ya yule mkurugenzi wa Geita.
 
@Stanley Mitchell II amesema sahihi.

Maisha ya baadhi ya watanzania ni shida sana. Malnutrition inaharibu mpaka ubongo.

Mtu mwenye akili timamu hawezi tukana watu asiowajua.

You take everything personal.
Kwa hio wewe broiler unazokula kila siku ndio zimekufanya uwe Maladaptive daydreamer?

Kweli ukila ma broiler mengi kila siku yanakufanya unakaa unaongelea magari ya mil 300 huko wkt unaendesha harrier ya kupewa.

Hakika huwezi kua na akili timamu.
 
@Stanley Mitchell II amesema sahihi.

Maisha ya baadhi ya watanzania ni shida sana. Malnutrition inaharibu mpaka ubongo.

Mtu mwenye akili timamu hawezi tukana watu asiowajua.

You take everything personal.
Mkuu huyu jamaa anaonekana hayupo sawa Upstairs.

Pia anaonekana ana stress na shida shida za maisha.

Point yangu ilikua hata kama umeona gari nzuri njiani ukawa inspired......ukapenda kupiga picha.... ili upost mitandaoni kwa nia njema ila hujapata idhini ha mmiliki....basi Hide Namba zake....you never know.

Hiyo ni commonsense ya kawaida sana.

Sasa anasema mm miaka mingi nauliza gari afu sina gari ....nikamuambia amTag huyo jamaa atasema nina gari gani afu naichukulia kawaida....kwa sababu sina fikra za kimaskini.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hio wewe broiler unazokula kila siku ndio zimekufanya uwe Maladaptive daydreamer?

Kweli ukila ma broiler mengi kila siku yanakufanya unakaa unaongelea magari ya mil 300 huko wkt unaendesha harrier ya kupewa.

Hakika huwezi kua na akili timamu.
Sasa havi naendesha Harrier tena sio nagombania daladala?

Bro, umeshakula kweli leo?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Tuliza kalio wewe,kula hizo broiler zako then ukimaliza rudi hapa Jf uanze kuuuliza yale maswali yako ya Audi A4 unaionaje,benz E-class itanifaa,Hivi Bmw 7 class facelift yake sijui imefanya nini....
 
Hizo options nyingi ni rip off tu, Porsche, Audi Mungu ana waona.
 
nacheka lkn kwa dharau sana mnazungumzia gari na nmba zake mbn huyu jamaa anayekatiza mbele ya gari ya mpiga picha hamjaona kama pia mnadhalilisha ungeanza kwanza ku-hide picha ya jamaa then ndo izo plate number.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…