Hii Kluger New Model nimeilewa sana

nacheka lkn kwa dharau sana mnazungumzia gari na nmba zake mbn huyu jamaa anayekatiza mbele ya gari ya mpiga picha hamjaona kama pia mnadhalilisha ungeanza kwanza ku-hide picha ya jamaa then ndo izo plate number.
Huyo jamaa wanaomtafuta weshajua yupo wapi.
 
Sifa zake zinaweza kumCost mmiliki kwa namna moja au myingine.

Acheni hizo tabia za kiswahili.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Wewe jamaa unaonekana mkoloni sana,kama plate number inaweza kumcost kwa picha za hapa jf huko mtaani si itakua balaa maana mtaani ndio inaonekana na watu wengi kuliko mitandaoni,basi kama vipi aiendeshee chumbani kwake ili isionekane na watu
 
Sawa Nyerere endelea kupigani uhuru kutoka kwa mkoloni

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Hizo options nyingi ni rip off tu, Porsche, Audi Mungu ana waona.
Kuna sababu gani ya kuuza LC200 $85,000 wakati ina basic features? Bila options kabisa.

Na VXR iuzwe 400M unaona ni sahihi?

Huo si ndo wizi wenyewe?
 
Kuna sababu gani ya kuuza LC200 $85,000 wakati ina basic features? Bila options kabisa.

Na VXR iuzwe 400M unaona ni sahihi?

Huo si ndo wizi wenyewe?
400m pamoja na ushuru ambao nahisi ni 100%
 
Vp changamoto za spea, na mafundi Mkuu? Changamoto yake ni left hand ila zinaonekana ziko vizur Mana naona nyingi ni leather seat.
Hapa South Africa zipo right hand za kutosha,brand new + ushuru kwa kia Sorento 2020 ni m 100[emoji29][emoji26]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…