Stanley Mitchell II
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 970
- 1,323
asante , pole na wewe mkuu
keyboard kinaficha mengi mkuu kwa hiyo wacha mleta mada asifie
Au yupo kwenye gari ya mkoani anasafiri na kuku kwenye siti moja![emoji1][emoji1][emoji1]
Shida iko wapi aisee?
Kwani ameifanyia nini? Ipo uchi?
Tuache viburi visivyo na maana.
Na ingekuwa Yako sipati picha.
Binafsi ningekuwa mimi ningefurahi someone admires my ride and wants one like it.
Brilliant!
Naona mnaenda kucheza Golf ila mpo kwenye foleni na vitoroli vyenu.anakwambia yeye hawezi miliki TOYOTA
Angalieni visije kuchemsha mkashindwa kufika kwenye Golf Course.
Ila Wadau seriously, acheni uswahili sawa unamiliki kiTOROLI bado kina marejeshoau upo kwnye daladala na umepiga picha ya GARI ya mtu umeipenda...kwa ni njema kua umeipenda Hide Namba ....kumiliki vitoroli vya Golf Course kusiwafanye muwe waswahili.
I'm outta here.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app