Hii Kluger New Model nimeilewa sana

Hii Kluger New Model nimeilewa sana

My point of argument is not about a tax policy, it's about the method which is being used here for comparison.
*Nilikuwa naona the right methodology ni ku compare magari based on the same model year.Sidhan kama itakuwa sahihi pia kulinganisha let's say VX ya 2022 na GLS ya 2021 and virce versa ukapata majibu sahihi-1 year difference kwenye market ni kubwa sana.
Well.

Bei ya gls ya mwaka jana na huu ni the same.

Likiwa limeshanunuliwa ndo depreciation inaanza, ila kama halijatengenzwa bei haiwezi kushuka.
 
We jamaa kalio kweli. Yani mm nione wivu mtu anamiliki TOYOTA?

Si Bora nife sasa maana maisha yatakua hayana maana.

Huoni kama tupo ligi tofauti. Mimi sipo kwenye stage ya kupiga picha magari ya wanaume na kuyapost mitandaoni.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Ndo maana kwenye ule uzi wa watu wa ajabu wamekutaja
Naelewa sasa why
 
Back
Top Bottom