Hii lazima iwe Tanzania, ndiko huko watu huwa wabishi kiasi hiki

Wabishi sana wale.... Yaani hapo yeye keshajenga nyumba, humwambii kitu na haambiliki na hajaribiwi.

Ahaaa haaa haaa
Sikia Kijana, kuna kitu kinaitwa way leave. Miradi KAMA hii inahitaji compulsory land acquisition. Na our full HD land low categorically provides for that. Hakuna mtu ambaye anaweza kugoma kwa kuwa kuna FULL, FAIR AND PROMPT COMPENSATION.
Need say more!!?
 

Huyo kajenga nyumba kwenye nguzo za transformer, not the other way round, nyumba yenyewe inaonekana mpya.
 
Hii mada imekaa pouwa sana hakuna maneno ya kashfa ni utani kwa kwenda mbele. Teh teh.
 
Hi ni kenya for sure. Na bila shaka huyo Mkenya anajisifu kuwa nyumba yake moja tu inatumia transformer yenye uwezo wa ku power Dar es salaam nzima.

Only Kenyans ndio wanapenda kujisifia ujing.a na kupika taarifa 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…