KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,320
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabishi sana wale.... Yaani hapo yeye keshajenga nyumba, humwambii kitu na haambiliki na hajaribiwi.
Ahaaa haaa haaa
Sikia Kijana, kuna kitu kinaitwa way leave. Miradi KAMA hii inahitaji compulsory land acquisition. Na our full HD land low categorically provides for that. Hakuna mtu ambaye anaweza kugoma kwa kuwa kuna FULL, FAIR AND PROMPT COMPENSATION.
Need say more!!?
Subawanga ndiyo wapi tz hakuna sehemu hiyoUkute hapo ni Subawanga na mwenye nyumba kwenye garaji yake amepark bonge la uteo. [emoji38] Tanesco subutu.
pia tz sijawahi ona nguzo kama hizo... hata huku nguzo ni roundKali sana. Kenya Power huwa hawatumii nguzo kama hizo, zao zote ni standard moja, za round. Hii lazima itakuwa ni huko huko kwa wajuaji. Jiweland. 🙂
Ulimi mzito sana ndugu yangu. Ni utani tu lakini, haina presha.Subawanga ndiyo wapi tz hakuna sehemu hiyo
Kwaiyo ulikuwa unaandikia ulimi!!!!Ulimi mzito sana ndugu yangu. Ni utani tu lakini, haina presha.
Siunatujua tu sisi watu wa kule milimani na lafudhi zetu nzito nzito? Nisharekebisha jombaa usije ukaniroga bure.Kwaiyo ulikuwa unaandikia ulimi!!!!
Teh teh.Siunatujua tu sisi watu wa kule milimani na lafudhi zetu nzito nzito? Nisharekebisha jombaa usije ukaniroga bure.