ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Hilo ndio neno lake kila press kwa sasa wewe mtafute youtubeHata ka link mzee au hata kavideo ka Mgunda majinsi akielezea ugumu wa ligi
Asiseme hii ligi ni ngumu, ASEME TU KUWA HII YANGA NI NGUMU..!! Ataeleweka tu..!!Nyie wana msimbazi sijui mnamwelewa huyu mzee? Maana amekuwa akitahadharisha hilo karibu mwezi sasa, lakini anashangaa baadhi yenu mmekuwa mkimwandama mitandaoni!
Nilichoona
Msiitazame sana Yanga na mwenendo wake, kwani kufanya hivyo ni kuzidi kujiumiza. Jipangeni, tengenezeni timu taratibu.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Ukiona hivyo ujue ngada zimemkolea.Asiseme hii ligi ni ngumu, ASEME TU KUWA HII YANGA NI NGUMU..!! Ataeleweka tu..!!
Ligi gani, NBCPL au CAF CL? Maana si timu zote zinazoshirikiNilichoona
Msiitazame sana Yanga na mwenendo wake, kwani kufanya hivyo ni kuzidi kujiumiza. Jipangeni, tengenezeni timu taratibu.
Ihefu 2- Yanga 1.Msema kweli ni moenzi wa Mungu! Hongera Mgosi mwenzangu kwa kusema ukweli.
Na kwenye mechi ya marudio, uwaambie kabisa "hii Yanga ya msimu huu na ule ulipita; ni ngumu kuliko hata Man U"
Hata ka link mzee au hata kavideo ka Mgunda majinsi akielezea ugumu wa ligi
UpoMsema kweli ni moenzi wa Mungu! Hongera Mgosi mwenzangu kwa kusema ukweli.
Na kwenye mechi ya marudio, uwaambie kabisa "hii Yanga ya msimu huu na ule ulipita; ni ngumu kuliko hata Man U"
Vipi huko mbarali kwema naskia vijana wamekataa kula mihogo wamezidi kuukandamiza ndani ule mwiko wenu wq 49Ukiona hivyo ujue ngada zimemkolea.
Yanga ni ngumu Halafu ihefu ni nyepesi😄Asiseme hii ligi ni ngumu, ASEME TU KUWA HII YANGA NI NGUMU..!! Ataeleweka tu..!!
Sikuwa nafuatilia mpira wa bongo, lakini sasa nimeelewa kwanini mlipachikwa hilo jina la utopolo. Maana kama sikosei linamaanisha ujinga.Asiseme hii ligi ni ngumu, ASEME TU KUWA HII YANGA NI NGUMU..!! Ataeleweka tu..!!
Jamani hii mechi na ihefu yanga tumecheza na wengi si ihefu peke yao
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kweli hii ligi ni ngumu aiseeNyie wana msimbazi sijui mnamwelewa huyu mzee? Maana amekuwa akitahadharisha hilo karibu mwezi sasa, lakini anashangaa baadhi yenu mmekuwa mkimwandama mitandaoni!
Nilichoona
Msiitazame sana Yanga na mwenendo wake, kwani kufanya hivyo ni kuzidi kujiumiza. Jipangeni, tengenezeni timu taratibu.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app