Hii Ligi ngumu-Mgunda

Hii Ligi ngumu-Mgunda

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Nyie wana msimbazi sijui mnamwelewa huyu mzee? Maana amekuwa akitahadharisha hilo karibu mwezi sasa, lakini anashangaa baadhi yenu mmekuwa mkimwandama mitandaoni!

Nilichoona
Msiitazame sana Yanga na mwenendo wake, kwani kufanya hivyo ni kuzidi kujiumiza. Jipangeni, tengenezeni timu taratibu.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Hata ka link mzee au hata kavideo ka Mgunda majinsi akielezea ugumu wa ligi
 
Asiseme hii ligi ni ngumu, ASEME TU KUWA HII YANGA NI NGUMU..!! Ataeleweka tu..!!
 
Nilichoona
Msiitazame sana Yanga na mwenendo wake, kwani kufanya hivyo ni kuzidi kujiumiza. Jipangeni, tengenezeni timu taratibu.
Ligi gani, NBCPL au CAF CL? Maana si timu zote zinazoshiriki
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu! Hongera Mgosi mwenzangu kwa kusema ukweli.

Na kwenye mechi ya marudio, uwaambie kabisa "hii Yanga ya msimu huu, na ule uliopita; ni ngumu kuliko hata Man U"
 
Hata ka link mzee au hata kavideo ka Mgunda majinsi akielezea ugumu wa ligi
IMG-20221129-WA0011.jpg
 
Msema kweli ni moenzi wa Mungu! Hongera Mgosi mwenzangu kwa kusema ukweli.

Na kwenye mechi ya marudio, uwaambie kabisa "hii Yanga ya msimu huu na ule ulipita; ni ngumu kuliko hata Man U"
Upo
 
Siku nyingine Muwe mnawanukuu Wote basi..!

Zaka Zakazi Yeye anasemaaa...'Unbeaten imelindwa Sana Na Waamuzi..Hata Leo Yanga mlibebwa,Bao lenu lilikuwa La Offside Na Ihefu Walinyimwa Penati'
Mwisho Wa Kunukuu.
Msiishie Kwa Mgunda tu.
 
Nimemsikia kaze kwenye mahojiano na yeye analalamika kama Juma Mgunda ligi gumu
 
Nyie wana msimbazi sijui mnamwelewa huyu mzee? Maana amekuwa akitahadharisha hilo karibu mwezi sasa, lakini anashangaa baadhi yenu mmekuwa mkimwandama mitandaoni!

Nilichoona
Msiitazame sana Yanga na mwenendo wake, kwani kufanya hivyo ni kuzidi kujiumiza. Jipangeni, tengenezeni timu taratibu.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kweli hii ligi ni ngumu aisee
 
Attachments

  • Screenshot_20221130-141947.png
    Screenshot_20221130-141947.png
    133.6 KB · Views: 3
Back
Top Bottom