Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Imelainika huko mbarariAsiseme hii ligi ni ngumu, ASEME TU KUWA HII YANGA NI NGUMU..!! Ataeleweka tu..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imelainika huko mbarariAsiseme hii ligi ni ngumu, ASEME TU KUWA HII YANGA NI NGUMU..!! Ataeleweka tu..!!
Ihefu... Ihefu.. Ihefu...[emoji23]Msema kweli ni mpenzi wa Mungu! Hongera Mgosi mwenzangu kwa kusema ukweli.
Na kwenye mechi ya marudio, uwaambie kabisa "hii Yanga ya msimu huu, na ule uliopita; ni ngumu kuliko hata Man U"
Wewe huyo umetokea..!! Ila hongera kwa Ihefu..!!Imelainika huko mbarari
Ihefu ameshailegeza sasa hivi ni mtelezo tu kudadadeqMsema kweli ni mpenzi wa Mungu! Hongera Mgosi mwenzangu kwa kusema ukweli.
Na kwenye mechi ya marudio, uwaambie kabisa "hii Yanga ya msimu huu, na ule uliopita; ni ngumu kuliko hata Man U"
Nilisema lazima nije nikuunge mkono mtani hahahaWewe huyo umetokea..!! Ila hongera kwa Ihefu..!!
Kuniunga mkono kwa hivi hapana banaaa..!!!Nilisema lazima nije nikuunge mkono mtani hahaha