Hii live coverage wanayofanya Azam imekaa kihujuma hujuma kweli.

Hii live coverage wanayofanya Azam imekaa kihujuma hujuma kweli.

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Imagine coverage Haina drone camera hata Moja picha za juu za kawaida kweli kweli
Sauti nadhani Kila mtu anaisikia hata Millard Ayo angefanya vizuri zaidi ya hii
NB:
Mtu ambae Azam imempa uongozi wa picha na video kwa Sasa ni anafeli kwa nyanja zote ukiangalia upandishaji wa picha na video huwa Kuna fujo kweli baina ya watangazaji na mleta video
 
Back
Top Bottom