Hii lugha siyo jamani, inasumbua wengi.

Hii lugha siyo jamani, inasumbua wengi.

Tatizo ni lugha au mwandiko? Maana jibu lake ni kuwa alifikiri KAANDIKA 3 males per day.
Tatizo kubwa ni thinking capacity, how can it be possible to be advised 3 males a day?
 
Picha inaonesha issue ni bad handwriting (poor intellegibility) na sio language. Ila mleta mada alitaka iwe kutoelewa lugha wakati data inasema mwandiko mbaya.
 
Dah we dada post zako zinafikirsha hafu hazikosi utam
 
Back
Top Bottom