Hii maalum uku kwetu uswaz mie ndio nimeanza hivi karibuni sana wakuu..!

Aiseee..kwenye viazi na hiyo kachumbari safi...huku Tanga kuna wale watoto wa samaki twawaita uono ukikaangwa ule dah hatari...
 
Aiseee..kwenye viazi na hiyo kachumbari safi...huku Tanga kuna wale watoto wa samaki twawaita uono ukikaangwa ule dah hatari...
Si uhondo huo mpaka unajilamba mkono mkuu, karibu sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…