Abbassalum
JF-Expert Member
- Dec 11, 2016
- 338
- 176
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo maharage sasa...tumbo lako lilisalimika kweli?? hali ya hewa vipi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ujalazimishwa wala kushurutishwa ku comment huu uzi, kama umeona aukufaiMbona mnaleta itikadi za whatsapp, insta na fb humu
Ujalazimishwa wala kushurutishwa ku comment huu uzi, kama umeona aukufai unapita kuliko, kujifanya wewe ndio moderetor mkuuMbona mnaleta itikadi za whatsapp, insta na fb humu
Si uhondo huo mpaka unajilamba mkono mkuu, karibu sana...Aiseee..kwenye viazi na hiyo kachumbari safi...huku Tanga kuna wale watoto wa samaki twawaita uono ukikaangwa ule dah hatari...
Mkuu kitu chochote mazoea [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hayo maharage sasa...tumbo lako lilisalimika kweli?? hali ya hewa vipi[emoji23][emoji23][emoji23]