goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 978
- 1,237
Sikunyingine usijipe majukumu ambayo huyaelewi..Nimemtumia maombi ya chuo mdogo wangu na hajapewa mkopo kabisa. Sasa najaribu kuapeal napata meseji hii;
Sorry!! S.......... is not Eligible for Appeal
Because of the following reason(s);-
Sasa hapo sijaelewa wanamaanisha nini. Mwenye uelewa anieleweshe tafadhari
- Incomplete Application Form Verification
NB hio ...... kuna namba ya mwanafunzi nimefanya kuifuta
Lilikuwepo tatizo la cheti cha kuzaliwa, cha mwanzo walikikataa kwamba hakijathibitishwa na rita. Tukafuatilia na kupata cha rita na nikakiapload na kukiconfirm kwa utaratibu wanaoutaka.Fimu yako haijakamilika kuna mahala wends kwenye form ya appeal au ya kuombea mkopo hujaizaza na ni ya lazima
Wakati mwingine kama huna cha kushauri it's better to https://jamii.app/JFUserGuide up ur rotten and stinking 😷😷😷mouth. Wewe unajua vyote vilivyomo duniani? Senge sana ww. Au unafikiri ndo nimeanza leo kufanya haya mambo!!Sikunyingine usijipe majukumu ambayo huyaelewi..
sasa sentesi ndogo hivyo imekusumbua nini?
Probably tatizo ndio hilo hilo bado kwasababu wanasema umeshindwa ku verify! Yawezakuwa katika ku upload labda bado uliupload hicho cheti chenye makosa au some other docs ambazo zilipaswa kuwa verified uliziupload zikiwa ni unverifiedLilikuwepo tatizo la cheti cha kuzaliwa, cha mwanzo walikikataa kwamba hakijathibitishwa na rita. Tukafuatilia na kupata cha rita na nikakiapload na kukiconfirm kwa utaratibu wanaoutaka.
Walipotoa mkopo awamu zote hakupata na mwisho wakasema aapeal ndio hivyo tena kuapeal wanasumbua