Hii maana yake nini? Ndio tunaenda kuuzwa rasmi?

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,427
Reaction score
4,944
I think this is the poorest decision She has ever made?

Tunaheshimu tu Katiba lakini hafai kiwa kiongozi mkuu wa nchi.

Asaini asisaini. Hili jambo ni la kupingwa kwa nguvu zote. Kimyakimya na waziwazi.
Screenshot_20231022_104444_Instagram.jpg
 
Swali ni;

Wanatiliana saini na mwekezaji gani hiyo mikataba?

Ni hawahawa waarabu wa DP World huku msingi wake ikiwa ni yale makubaliano [IGA] yenye matatizo na mapungufu yasiyorekebishika?

Kama ni mikataba mingine mipya tofauti na kile tulichopigia kelele, tunasubiri tukione..

Ila kama ni yaleyale ya DP World kama ilivyokuwa mwanzo, basi waacheni CCM wajimalize mwenyewe maana maandishi ya MENE MENE NA TEKELI yako wazi mno ukutani.

Asomaye na afahamu.
 
I think this is the poorest decision She has ever made?

Tunaheshimu tu Katiba lakini hafai kiwa kiongozi mkuu wa nchi.

Asaini asisaini. Hili jambo ni la kupingwa kwa nguvu zote. Kimyakimya na waziwazi.
View attachment 2788904
Utaumia sana moyoni mkuu. Na hizo faida zake kiuchumi zitakapoanza kugusa maisha ya mtu mmoja mmoja usije kuwa wa kwanza kuanzisha uzi wa kinafiki wa kupongeza.

Pale katika ile hadhara inayoshuhudia utiaji saini yupo Father Kitima amekaa kimyaa anatazama yanayoendelea.
 
Swali ni;

Wanatiliana saini na mwekezaji gani hiyo mikataba?

Ni hawahawa waarabu wa DP World huku msingi wake ikiwa ni yale makubaliano [IGA] yenye matatizo na mapungufu yasiyorekebishika?

Kama ni mikataba mingine mipya tofauti na kile tulichopigia kelele, tunasubiri tukione..

Ila kama ni yaleyale ya DP World kama ilivyokuwa mwanzo, basi waacheni CCM wajimalize mwenyewe maana maandishi ya MENE MENE NA TEKELI yako wazi mno ukutani.

Asomaye na afahamu.
IGA ile ile ndio inayokwenda kufanya kazi pale TPA.
 
Utaumia sana moyoni mkuu. Na hizo faida zake kiuchumi zitakapoanza kugusa maisha ya mtu mmoja mmoja usije kuwa wa kwanza kuanzisha uzi wa kinafiki wa kupongeza.

Pale katika ile hadhara inayoshuhudia utiaji saini yupo Father Kitima amekaa kimyaa anatazama yanayoendelea.
Hakuna faida yoyote acha kudanganya watu.Hiyo ni miradi ya watu.Tatizo la nchi hii sio uhaba wa pesa bali matumizi ya hovyo.ndo maana ata zinazopatikana tunaona hazitoshi kwasababu nyingi zinavujia pembeni.
 
Kimeeleweka Sasa, Rasmi Habii Kaingia Kazini
 
Hakuna faida yoyote acha kudanganya watu.Hiyo ni miradi ya watu.Tatizo la nchi hii sio uhaba wa pesa bali matumizi ya hovyo.ndo maana ata zinazopatikana tunaona hazitoshi kwasababu nyingi zinavujia pembeni.. Huna biashara yoyote inayotumia bandari hivyo huelewei kinachoendelea, pole sana.
Huna biashara yoyote inayotumia bandari hivyo huelewi kinachokwenda kufanyika na faida zake kwenye uchumi wa nchi nzima.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom