Hii maana yake nni?

Hii maana yake nni?

Dereva Suka

Senior Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
176
Reaction score
289
8aa0bddf1a62fb262cc41466565a305b.jpg
Habari zenu wakuu mbalimbali... E bwana nipo hapa Riverside ubungo darajani kituo cha daladala...zimepita kama dakika 10 hivi kuna gari aina ya Rav4 imepita hapa kituoni na ikapunguza mwendo kiasi bila kusimama...Cha ajabu niliona mwanamama mmoja kupita mlango wa mbele wa abiria katoa nazi na kuitupa chini kwa nguvu sana hatua ambayo ilipelekea ile nazi kupasuka hapa kituoni na kisha gari ile ikaondoka kwa kasi sana.

Naomba nieleweshwe kwa wajuzi wa haya mambo au experience yeyote juu ya hili....hii ina maana gani.
 
Maana yake ni kwamba hiyo nazi haina kazi hivyo ameona aitupe tu.!
 
Ushirikina huo, siku nyingine ilitokea kama hivyo hivyo makutano ya Nyerere na Mandela roads, TAZARA.
 
[quote uid=249291 name="george bublish" post=19261568]
8aa0bddf1a62fb262cc41466565a305b.jpg
Habari zenu wakuu mbalimbali... E bwana nipo hapa Riverside ubungo darajani kituo cha daladala...zimepita kama dakika 10 hivi kuna gari aina ya Rav4 imepita hapa kituoni na ikapunguza mwendo kiasi bila kusimama...Cha ajabu niliona mwanamama mmoja kupita mlango wa mbele wa abiria katoa nazi na kuitupa chini kwa nguvu sana hatua ambayo ilipelekea ile nazi kupasuka hapa kituoni na kisha gari ile ikaondoka kwa kasi sana.<br /><br />Naomba nieleweshwe kwa wajuzi wa haya mambo au experience yeyote juu ya hili....hii ina maana gani.[/QUOTE]<br />Maana yake ni kwamba hiyo nazi haina kazi hivyo ameona aitupe tu.!
Hahahahaaaa

Sent from my TECNO M6 using JamiiForums mobile app
 
Amekosa sehemu ya kutupia we msaidie okota katupe jalalani
 
Nilikuwa najiuliza mbona kuna kuku na mbuzi barabarani wanakula kitu km mpunga au ngano isiyokobolewa pale round about ya JKT au Jitegemee pia nikawa najiuliza mbona kila siku kuna dalili kama labda kuna gari ya nafaka ilimwaga mzigo kwa bahati mbaya ila kila mara inatokea pale pale ndipo mtu akanistua ni watu wanafanya ushirikina hapo njia panda!hz Imani jamani!Hv madhara yake kwa watumiaji wa Barabara ni nn?
 
Back
Top Bottom