Hii Machine ya Ukweli zile ambazo tunapaswa kuwa nazo AU R8, Kaa Mbali kabisa

Vipi kuhusu Volkswagen Touareg V10
 
Vipi kuhusu Volkswagen Touareg V10

Tatizo kwanza ni diesel na kuifanya kuwa na muungurumo mkubwa mno
Kwa uendeshaji wake ni mzuri ila inakula mafuta balaa
Yaani ukilinganisha na suv zingine hiyo inaachwa mbali sana
Kwa mfano Audi 4.2 litre V8 TDI Q7 inamtoa jasho na ni economy kuzidi Touareg
Hawakuibadilisha sana kama gari zingine wanavyofanya kila mwaka ila ilitamba miaka kama minne nyuma basi
 
Beira boy na kiduku lilo ni watu maskini sana lakini ukisoma thread zao unaweza jua wanauwezo wa kuikopesha serikali ya awamu ya tano
 
Vipi kuhusu perfomance ya Mercedes Benz ML matoleo ya kuanzia 2015 na kuendelea.
 
Sasa Kiduku. Hii gari Bongo unaendeshea wapi? Angalau gari kama AU A8L ya mwaka huu au mwaka jana. Mfano ya mwaka huu engine yake ina 563HP V8 pia twin turbo na yenyewe from 0 to 60mph ni 3 seconds na points.
 
ila ukweli upo kuna gari na kuna usafiri!! hapo nimecheka. wakati mtu na vits yake anatesa mpaka kaliua hadi manyovu na namikupa tandahimba acha kabisa!!
 
siku ukiendesha benz hutatamani kuendesha gari ya mjapani labda MTUNGI!!

Mkuu Benz nilikuwa nalo nikaliuza najua ni gari la uhakika
Ila nilikuwa nazungumzia Haya ambayo ni mapya kabisa na kuyaendesha
Mjerumani kwa gari zake zote yuko juu sana
 
Mkuu Benz nilikuwa nalo nikaliuza najua ni gari la uhakika
Ila nilikuwa nazungumzia Haya ambayo ni mapya kabisa na kuyaendesha
Mjerumani kwa gari zake zote yuko juu sana
Kuna mfalme anaitwa Porshe Panorama ya mwaka 2017 huyu nadhani apewi promo ila amekamilika kila idara.
 
Kiduku kumbe hujui wenzio wakisema 0 - 60 wanamaanisha 60mph ≈ 100kmph

Hiyo 3.5 seconds ni 0 to 100kmph
 
Mkuu Benz nilikuwa nalo nikaliuza najua ni gari la uhakika
Ila nilikuwa nazungumzia Haya ambayo ni mapya kabisa na kuyaendesha
Mjerumani kwa gari zake zote yuko juu sana
hujakosea anything jerumani utapaenda. ila uwe vizuri kiasi maana na wese zinabugia ila spea mkataba hakuna kanjanja hapo!
 
Hapo ndo shida ndugu yangu. Hii gari kwa TZ hamna barabara za kuitumia. Mpaka siku tukianza kutengeneza barabara za lami ndo hii machine uta enjoy.

Sasa Kiduku. Hii gari Bongo unaendeshea wapi? Angalau gari kama AU A8L ya mwaka huu au mwaka jana. Mfano ya mwaka huu engine yake ina 563HP V8 pia twin turbo na yenyewe from 0 to 60mph ni 3 seconds na points.
 
Hapo ndo shida ndugu yangu. Hii gari kwa TZ hamna barabara za kuitumia. Mpaka siku tukianza kutengeneza barabara za lami ndo hii machine uta enjoy.
Kiduku Lilo nunua yatch ya kifahari uje upate raha baharini. Huku hakuna traffic, tochi,matuta wala njia mbovu.

Unatembea speed utakayo Dar kwenda Zanzibar ni masaa 3 wewe chukua yatch yenye engine za Volvo Penta dakika 45 unakuwa upo Zanzibar.
 
Ule uzi wake wa juzi alipiga picha mitaa ya Vingunguti akielekea Barakuda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…