mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Hahah daah kumbe jamaa ni home boy wa tabata mkuu.?Ule uzi wake wa juzi alipiga picha mitaa ya Vingunguti akielekea Barakuda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah daah kumbe jamaa ni home boy wa tabata mkuu.?Ule uzi wake wa juzi alipiga picha mitaa ya Vingunguti akielekea Barakuda
Jamaa ni Tabata moja ndo maana alikua anatafuta fundi wa GX110 ngoja maadamu tupo mjini ile ford ranger tutaipata tu plate no. Tutajua mbivu na mbichi..Hahah daah kumbe jamaa ni home boy wa tabata mkuu.?
Nimefungua uzi nkaanza kuusoma moja Kwa moja bila kuchek nani kauweka, but kuna sehemu nimefika nikastuka, nikajiambia mbona huu mwandiko kama naujua hivi... Kumbe ni wa brother kiduku lilo,..... How are you??😁😁

hakika, twafahamiana aina ya miandikoKumbe humu ndani mnafahamiana?