Hii maneno imetokea kwa huyu, kwako je ?

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,785
Ni kwamba Nancy ( jina halisi kapuni) mmekulia mitaa jirani.
Aidha shule zenu pia zilikua jirani, aidha mkawa na mahusiano kimapenzi ya muda mrefu huku mkipeane lukuki za ahadi mwisho wa siku mtaoana mkiwa na dhati ya mioyo yenu.
Inafika hadi mnaanza ajira zenu still mkiwa na azma ileile ya kua mke na mume. Ghafla inazuka sintofaham inayopelekea kuvunja Roadmap yenu ya ndoa!.
Na matokeo kila mmoja anaoa/anaolewa na mtu mwingine. Miaka kadhaa badae mnakutana na Nancy anakwambia kwa kua mlikwishakua wapenzi hakuna mantik muache kumbushia kwa kucheat ! Na mnaanza hiyo maneno.
Kinachoulizwa hapa je ? Nancy ungemuoa wewe na kama ambavyo ma'girls wengi hua na boyfrnd zaidi ya mmoja.
Hivyo kama Nancy angekua mkeo na akakutana na aliekua Boyfrnd wake nje ya wewe asinge'cheat ?
Hili la kucheat nawe kwa nini isikupe picha kwa kushukuru kuvurugika kwa ndoa ya Nancy na wewe ? Kwa kua wa kwanza kukushauri mkumbushie na asingekua muaminifu hata kwako?
 
Actually hao watu walitakiwa wawe pamoja maana hawana tofauti. Wenye hasara hapo ni wenzi wao.
 
Umetoa mfano, ukasema unacho hisi, uka toa maelezo. sasa hapa ni kukubaliana na wewe tu nadhani.
 
Umetoa mfano, ukasema unacho hizi, uka toa maelezo. sasa hapa ni kukubaliana na wewe tu nadhani.

Kwa kunikubalia means Nancy asingemfaa yule mwanaume alieahidiana nae kuoana kwa mara ya kwanza.
 
Umetoa mfano, ukasema unacho hizi, uka toa maelezo. sasa hapa ni kukubaliana na wewe tu nadhani.
Angemfaa. si wote wanaamini girlfriend au boyfriend wa zamani bado ni chakula halali?

weye Mwali una busara sana....................nimekukubali sana tu.....
 
hizo ni tamaa tu na tena zinaweza kuzuilika kabisaa..:A S embarassed:
 
Si ndo mana tukambiwa, kabla ya kuoa kwanza...Tuchunguze.

Kuna mambo mengine yamejificha baba, unaweza kusema mwanamke huyu kasoma sana na anabusara sana hana kasoro kwa kuwa anaongea kizungu/kifaransa na lugha mbali mbali..Si unajau wako wengine wana kasoro wakiona mwanamke anajua lugha nyingi nyingi....Na anaongelea love vizuri sana, basi wanasema wamepta kumbe wamepatikana.

Kumbe msukuma mchunga ng'ombe ambaye hajui kuongea kizungu au lugha zingine zaid ya lugha yake, na hajui kuongea maneno ya romance bora sana kwake.

Wako wanawake wengine wanajua kujiact aisay kama wanakupenda wewe tu, kumbe wana wanaume wengi tu wanao wachangamsha.
 

Nimekusoma !
 
Kama mliachana kwa roho safi kukumbushana is unavoidable bt its also unnecesary, the choice is ol urz..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…