Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,785
Ni kwamba Nancy ( jina halisi kapuni) mmekulia mitaa jirani.
Aidha shule zenu pia zilikua jirani, aidha mkawa na mahusiano kimapenzi ya muda mrefu huku mkipeane lukuki za ahadi mwisho wa siku mtaoana mkiwa na dhati ya mioyo yenu.
Inafika hadi mnaanza ajira zenu still mkiwa na azma ileile ya kua mke na mume. Ghafla inazuka sintofaham inayopelekea kuvunja Roadmap yenu ya ndoa!.
Na matokeo kila mmoja anaoa/anaolewa na mtu mwingine. Miaka kadhaa badae mnakutana na Nancy anakwambia kwa kua mlikwishakua wapenzi hakuna mantik muache kumbushia kwa kucheat ! Na mnaanza hiyo maneno.
Kinachoulizwa hapa je ? Nancy ungemuoa wewe na kama ambavyo ma'girls wengi hua na boyfrnd zaidi ya mmoja.
Hivyo kama Nancy angekua mkeo na akakutana na aliekua Boyfrnd wake nje ya wewe asinge'cheat ?
Hili la kucheat nawe kwa nini isikupe picha kwa kushukuru kuvurugika kwa ndoa ya Nancy na wewe ? Kwa kua wa kwanza kukushauri mkumbushie na asingekua muaminifu hata kwako?