medsebapol
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 327
- 225
Ndani ya Bac litokalo D'SALAAM
kwenda MOROGORO cm ya mdada
mmoja ikaita akapokea kusema Hello
honey niko njiani kuelekea ARUSHA
kwenye msiba nitakupigia nikifika"
mara cm ya mkaka ikaita jamaa
akapokea "sweetheart niko njiani
naenda CHUONI DODOMA kuchukua
form ya kujiunga na chuo unaweza
nitumia hela kidogo kwa ajili ya safari"
simu ya abiria mwingine ikaita "Hello
baba naelekea uwanja wa ndege wa
kimataifa wa mwl nyerere kwa ajili ya
interview nitakupigia baadae"......Gh
afla mzee mmoja aliekuwa
akiwasikiliza kwa kuamaki akasimama
na kupaza sauti....." DEREVA
SIMAMISHA GARI BHANA !!..........HEBU
TUAMBIE NI SEHEMU GANI HASA GARI
HILI LINAENDA MAANA KILA MTU ANA
SAFARI YAKE HUMU ??..."..'...".!!!
kwenda MOROGORO cm ya mdada
mmoja ikaita akapokea kusema Hello
honey niko njiani kuelekea ARUSHA
kwenye msiba nitakupigia nikifika"
mara cm ya mkaka ikaita jamaa
akapokea "sweetheart niko njiani
naenda CHUONI DODOMA kuchukua
form ya kujiunga na chuo unaweza
nitumia hela kidogo kwa ajili ya safari"
simu ya abiria mwingine ikaita "Hello
baba naelekea uwanja wa ndege wa
kimataifa wa mwl nyerere kwa ajili ya
interview nitakupigia baadae"......Gh
afla mzee mmoja aliekuwa
akiwasikiliza kwa kuamaki akasimama
na kupaza sauti....." DEREVA
SIMAMISHA GARI BHANA !!..........HEBU
TUAMBIE NI SEHEMU GANI HASA GARI
HILI LINAENDA MAANA KILA MTU ANA
SAFARI YAKE HUMU ??..."..'...".!!!