BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 958
Mnunu ungejua!Naomba nikuhakikishie katika hadhara hii ya MMU kuwa waume kibao wanakung'utwa na wake zao,au unataka tutaje majina?chunguza utaniambia,na hii attitude hii ya mme hawezi pigwa ndo inafanya wanaume wawe kimya huku wanaumizwa,fuatilia utaona.