OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Habari wakuu
Inahitaji utulivu mkubwa kuweza kusoma mchezo, sasa hivi CCM wanakosoana wenyewe kwa wenyewe huku watu wakishangilia na kusifia viongozi wa CCM wanaoikosoa CCM.
Mtoto wa nyoka ni nyoka, na mwana CCM ni mwana CCM, once a CCM always a CCM
Hii mbinu imetumika sana miaka ya nyuma kipindi CHADEMA ikianza kuwa moto
Sasa CHADEMA watakuwa wanarudia yale yale yanayosemwa na wana CCM wakosoaji
Hii itawafanya watu wasiwe na attention tena na CHADEMA
heche bado unakazi kubwa ya kufanya CCM sio wajinga kama unavyofikiria
Watakao ni elewa ni wale wanaojua kufikiria behind the scene, wale wanaofikiria inside the scene wataendelea kuwa mashabiki na wapenzi watazamaji wa Tamthilia bila kujali uwepo na uwezo wa Director na mtunzi wa movie
Nawasilisha