OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Imejishughulikia yenyewe.Wewe unakataa kusaini maadili ya uchaguzi unataka uonewe huruma?CHADEMA inashughulikiwa na msajili
Sio na CCM??Imejishughulikia yenyewe
Umemsikia mwanaCCm akimwambia msajili wafute Chadema?Sio na CCM??
Hiyo ni geresha bosheniCHADEMA inashughulikiwa na msajili
Tangu lini kiongozi wa CCM akawq mzalendoNishawaambia mwenye masikio na asikie Gwajima ni tapeli Kama matapeli wengine
Lowassa aliapa kabisa kuwa CCM sio babayangu Wala mamayangu kilichofuata?
Umeandika nini, kasome mwenyeweHabari wakuu
Inahitaji utulivu mkubwa kuweza kusoma mchezo, sasa hivi CCM wanakosoana wenyewe kwa wenyewe huku watu wakishangilia na kusifia viongozi wa CCM wanaoikosoa CCM.
Mtoto wa nyoka ni nyoka, na mwana CCM ni mwana CCM, once a CCM always a CCM
Hii mbinu imetumika sana miaka ya nyuma kipindi CHADEMA ikianza kuwa moto
Sasa CHADEMA watakuwa wanarudia yale yale yanayosemwa na wana CCM wakosoaji
Hii itawafanya watu wasiwe na attention tena na CHADEMA
heche bado unakazi kubwa ya kufanya CCM sio wajinga kama unavyofikiria
Watakao ni elewa ni wale wanaojua kufikiria behind the scene, wale wanaofikiria inside the scene wataendelea kuwa mashabiki na wapenzi watazamaji wa Tamthilia bila kujali uwepo na uwezo wa Director na mtunzi wa movie
Nawasilisha
Au wa UNIP!Hata Vijana wa KANU waliwazaga kama wewe 🐼
Siyo kusain hiyo ni kwamba wamejitoa kwenye uchaguzi, wamepuuza maamuzi ya msajili wa vyama vya siasa, hawataki kuongozwa na yeyoteImejishughulikia yenyewe.Wewe unakataa kusaini maadili ya uchaguzi unataka uonewe huruma?
Watu si wajinga bwana.Imejishughulikia yenyewe.Wewe unakataa kusaini maadili ya uchaguzi unataka uonewe huruma?
Una akiliNishawaambia mwenye masikio na asikie Gwajima ni tapeli Kama matapeli wengine
Lowassa aliapa kabisa kuwa CCM sio babayangu Wala mamayangu kilichofuata?
Unasaini vipi kwenda machinjioni?iILI IWEJE?🤔Imejishughulikia yenyewe.Wewe unakataa kusaini maadili ya uchaguzi unataka uonewe huruma?
Mkuu unataka kusema ile kukatwa kwa EL na kuhitilafiana na aliekua swahiba wake hadi kwenda upande wa pili ilikua ni scripted scene?Nishawaambia mwenye masikio na asikie Gwajima ni tapeli Kama matapeli wengine
Lowassa aliapa kabisa kuwa CCM sio babayangu Wala mamayangu kilichofuata?
Lakini hii mbinu pia inasaida kukuza uelewa kwa wananchi kwa sababu wanaona kumbe chama chao kina ubabaishaji piaHabari wakuu