Hii mbinu ya CCM kujigawa mara mbili nimeipenda, itawatoa mchezoni CHADEMA mchana kweupe

Sio kweli alichokisema gwajima,CDM wanakisema kila siku.
Kumbuka hakuna usalitinmbaya kama kusaliwa na anayekufahamu,alichokiwa anakisema gwajima kwa lugha rahisi ni kiwa Taasisi ya Rais inayoongonzwa na Rais mwenyewe ndio inamiliki vikindi vya kuteka watu hivyo Polisi na Usalama wanapaga wakati mgumu ku deal nao sababu wana back up ya Rais mwenyewe.
Na migano aliyoitoa ina manisha Ma DG wa TISS waliotolewa kwenye nafasi zao hakuendana na alichokuwa anakitaka Rais.
Mie ninaona hii ni kete zaidi kwa wapjnzani kuliko kuwa upanga dhidi yao.
Ni basi tu tunaisho kwenye nchi qmbayo wananchi tupo kama matahira,ingekuwa nchi nyongone tungeongea mengine.
 
Safi,ila inchi hii basi tu mkuu,ila kila kitu huwa na mwisho acha tuumie ipo siku
 
Mkuu unataka kusema ile kukatwa kwa EL na kuhitilafiana na aliekua swahiba wake hadi kwenda upande wa pili ilikua ni scripted scene?
Nambie ni lini nchi hii waziri mkuu alikuwa Rais wa Tanzania?
 
Sisiemu kama chama hakina uwezo wowote wakushindana na CDM kwa sasa CDM inapambana na machinery za dola huo ndio ukweli
 
Kwamba hiyo mbinu itawafanya CHADEMA waamue kushiriki uchaguzi bila reforms au siyo?
 
CCM ilishakufa muda mrefu tu.

  • Hakuna mtu anahudhuria mkutano wa CCM bila viposho posho, usafiri, kuwimda teuzi au mtumishi wa umma kalazimishwa.
  • CCM ya sasa imeunda genge la watekaji, ambao kazi yao mi kupiga nondo watu, kuteka na kuua
  • CCM haikubaliki ndio maana POLISI, Msajili wa vyama, mahakama, Bunge la Tulia, TCRA, Usalama, wote wako kupambana na watu ambao hawana hata WEMBE.

- Matumaini yote ya CCM yako kwa polisi na Tume ya uchaguzi, wanaiba mpaka uchaguzi wa Kitongoji, upumbavu ambao hata Museveni tunayemuita Dikteta hafanyi.

- Sasa hivi genge la CCM limejitokeza waziwazi kutetea WATEKAJI kwa WIVU mkubwa.
 
Gwajima aomba radhi pole pole on the move
 
Kaomba msamaha kwa kosa gani??

Kupinga utekaji???

Hivi SHETANI gani limewaingia vichwani??
Ile ilikuwa mbinu ya kuwapoteza No reform no election

Leo hii heche na kundi lake unawasikia?
 
Siyo kusain hiyo ni kwamba wamejitoa kwenye uchaguzi, wamepuuza maamuzi ya msajili wa vyama vya siasa, hawataki kuongozwa na yeyote
Je, wakifikiria na kutaka kusaini kwani wamechelewa au?
 
Ile ilikuwa mbinu ya kuwapoteza No reform no election

Leo hii heche na kundi lake unawasikia?
Kwani huoni kuwa kuwa kesi iko mahakamani na wamezuiwa kufanya siasa mpka kesi iishee au ulitaka uwasikie mgongoni kwako wakupumulie
 
Ile ilikuwa mbinu ya kuwapoteza No reform no election

Leo hii heche na kundi lake unawasikia?
Niwasikie wapi, wakati LISSU anasubiria kunyongwa gerezani.

Watu wameporwa passport,

Msajili wa vyama vya siasa yuko kazini.

Mahakama iko kazini, na imeweka zuio wasifanye siasa kwa wiki mbili??

Kila taasisi iko busy na CHADEMA.

Hivi nchi rahisi kama TZ ambayo Nyerere aliacha SCRIPT ya kila kitu, inawashinda kutawala vizuri, wangekuwa Congo, West Africa au Kenya mbona Wangekufa KABISA.
 
Umeanza kusaliti eti.. Hiyo inaitwa AST
 
Sasa CHADEMA watakuwa wanarudia yale yale yanayosemwa na wana CCM wakosoaji
CCM hawaitaji media kusukuma habari zao, Chadema wamekuwa waimba pambio za CCM mda wote, kila siku wanapewa nyimbo mpya. Leo Gwajima kaongea, Chdema wote wanasahau NRNE kwa siku kadhaa mbele, mpaka wapewe wimbo mwingine. Inasikitisha.
 
Wee ndugu hizi nyakat sio zile umepotea,watu wameelimika sana,wanaelewa wapi kiongozi anawapeleka na je anafaa au vip??.wanasubria reform Ili wapate viongozi wao wanawahitaji kwajir ya maendeleo Yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…