Hii mboga gani jamani?

Hii mboga gani jamani?

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
anaeijua aniambie😅😅😅

mapishi yake yakoje 😋😋
FB_IMG_1632406391336.jpg
 
Ina steam flani amazing na tunyege flani tuzuri zuri. Afu for some reason inakusababisha useme uongo sana na fake promises sijui ni huto tunyege.

Ila ilinitoboa meno nina mashimo kama barabara ya Keko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani unajenga magorofa kama yote
Na kwa kutoa ahadi sasa
Mtu anakuuliza million unamuambia njoo kesho
Halafu aje mchana unavypmtoa baru [emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂 🤣🤣
Aisee,,,,Handas
Takhsim ya Giza boom
Mara kangeta...
Viti sio mchezo
Shume ndio pasua kichwa...
 
Back
Top Bottom